Hatimaye mwanamuziki anayeshika nafasi ya pili kuwa na mashabiki wengi zaidi instagram (zaidi ya milioni moja na laki moja) diamond platnumz account yake imetambulika rasmi na Instagram na kuwekwa alama ya verified
Kwa hili anaungana na wanamuziki wa Afrika waliokuwa verified Davido, D banj na Don jazzy
Kumbuka kuwa verified hakuhitaji kutuma maombi, ni wao tu kukutambua na kukuverify.
Na kwakuwa imewekwa kwaajili ya kutofautisha accounts za mastaa wakubwa kuepusha matatizo ya kutumia jina moja kwa account zaidi ya moja, ni lazima wao wakutambue kama staa mkubwa na kukutambua ni kupitia vyombo vya habari vikubwa duniani (kama unavyoona diamond nyimbo zake zinavyochezwa CNN hivi sasa na habari zake tofauti, interviews BBC, Aljazeera, kutajwa kuwania tuzo kubwa tofauti duniani kama hizi MTV EMA mara kwa mara n.k) baada ya hapo wanatafuta account yako wanakutumia email kupata confirmation ya account yako ikiwa ni yenyewe ndipo wana verify..
https://instagram.com/diamondplatnumz/?hl=en

Last edited by a moderator: