pwilo kuwa msanii mkubwa Afrika sio kama kuhesabu namba kama ukitoka moja inafuatia mbili...
Wasanii wengi TZ wanatamani saana hata kukaribia robo ya mafanikio ya diamond kwa kudhani kuwa ni rahisi saana kutoka endapo tu utashoot video south kwa godfather na kupiga collable na wasanii waliotoka wa Nigeria
So sad mafanikio sio rahisi hivoo, coz kama wizkid na davido wameshafanya collable nyingi sana ila zipi zimewatoa wasanii underground kuwa wakubwa?
UNAFAHAMU KUWA MPAKA MWAKA UISHE KUNA NYIMBO TATU ZILIZO TAYARI KUTOKA MUDA WOWOTE MWAKA HUU, ZA KING OF AFROPOP..
NA KESHO TUNAWEKA HISTORIA, YA KUSHINDA WORLDWIDE ACT AFRICA, HAKUNAGA ZALI LA MENTARI NI KUWA VIZURI TU!!!
Sikuhizi Africa akitoka Davido jua Diamond yuko njiani, alianza Davido kufikisha followers 1M akafatia Diamond, Akaanza Davido kuwa verified baada ya wiki kadhaa Diamond naye kawa verified
Mimi Edward Lowassa, Mgombea Urais wa CHADEMA, nakuomba kesho Oktoba 25 uwahi saa 12 Asubuhi kituoni na ukatupigie kura. Chagua MABADILIKO, Mtumie na Mwingine.