Instagram account ya Diamond Platnumz imekuwa verified

Instagram account ya Diamond Platnumz imekuwa verified

Sasa kwani huyo si shabiki tatizo nn hapo ulitaka amjibu tayari au ??
Silent but sure
b09b2773530c186a93e0b93b7311fd1e.jpg
c1204380d20e42aa7999a1ecc11d92bc.jpg
02ed8cbbe4e61ed4db9b875fcdb38ea8.jpg
8fd0071b1d02a885c38f30aa166ad6ce.jpg

We subiria mabalaa #kingkiba

Haaaah nimeipenda ya Ku edit iyo mbona mtv cku izi trade mark yake haipo ivyo
 
pwilo kuwa msanii mkubwa Afrika sio kama kuhesabu namba kama ukitoka moja inafuatia mbili...

Wasanii wengi TZ wanatamani saana hata kukaribia robo ya mafanikio ya diamond kwa kudhani kuwa ni rahisi saana kutoka endapo tu utashoot video south kwa godfather na kupiga collable na wasanii waliotoka wa Nigeria

So sad mafanikio sio rahisi hivoo, coz kama wizkid na davido wameshafanya collable nyingi sana ila zipi zimewatoa wasanii underground kuwa wakubwa?

UNAFAHAMU KUWA MPAKA MWAKA UISHE KUNA NYIMBO TATU ZILIZO TAYARI KUTOKA MUDA WOWOTE MWAKA HUU, ZA KING OF AFROPOP..

NA KESHO TUNAWEKA HISTORIA, YA KUSHINDA WORLDWIDE ACT AFRICA, HAKUNAGA ZALI LA MENTARI NI KUWA VIZURI TU!!!
 
Last edited by a moderator:
Sikuhizi Africa akitoka Davido jua Diamond yuko njiani, alianza Davido kufikisha followers 1M akafatia Diamond, Akaanza Davido kuwa verified baada ya wiki kadhaa Diamond naye kawa verified
 
Tiwa Savage naye yuko verified, but nashangaa watu kama Psquare, Yemi Alade, Wizkid, Dbanji, n.k bado hawajawa verified wakati ni mastaa wakubwa
 
Tiwa Savage naye yuko verified, but nashangaa watu kama Psquare, Yemi Alade, Wizkid, Dbanji, n.k bado hawajawa verified wakati ni mastaa wakubwa

Dbanj nae tayar...
 
Hivi CNN hua inapiga miziki? au walifanya tu interview nae?
 
Mimi Edward Lowassa, Mgombea Urais wa CHADEMA, nakuomba kesho Oktoba 25 uwahi saa 12 Asubuhi kituoni na ukatupigie kura. Chagua MABADILIKO, Mtumie na Mwingine.
 
Levels baby. LEVELS
Lazima wajue kutofautisha...kati ya Diamond na Ali Kiba kuna KTMA na MTVEMA
Ni checheeee
 
Back
Top Bottom