Instagram imenisaidia kupata profit ya milion 8 mwaka huu 2017

Nimejaribu hii mbinu nimeshindwa
Pg yangu ya insta ipo kwenye business mode
 
Binafsi mwaka huu wa 2017 kuanzia mwezi wa 4 mpak wa 5 nilivuna. Shilingi laki 8 WhatsApp tu kwajili ya ifunfishaji wa kazi za ujasiliamali
Mwaka huo huo mwezi wa 11 till now nimevuna milioni moja kamili kutoka Facebook na tinder
Mafanikio aya yamenifanya niwaze au labda izi ndevu nilizokuw nazo ni sababu maana ni Kama supriz kwangu
Vile vile u tube imenisaidia......jinsi gani unaweza kuwa money magnant aseee simu zina faida kubwa ukijua kuichambua vizr
Sorry kwa gazeti
 
So hufanyi kazi na wateja wa mikoani?kama unafanya,unahandle vip hizo business za mbali?
 
Tinder ni social Media pia?
 
nawahudumia sana.. hasa mashule.. nina shule nyingi sana wateja wamgu mikoani.. mfumo wangu ni ule ule lipia huduma nikufanyie kazi... sifanyagi kazi kabla sijalipwa.... nafata mfumo wa kununua kitu popote duniani kwamba toa hela upate huduma..

wateja wadogo wadogo wa couple tshirts hao wanalipa full kwanza ndio mawatengenezea na kutuma mzigo kwao...

aunt ezekiel na mose iyobo walinipa kiki sana walivyonunua king and queen kwangu

nikimaliza kuengeneza nawatumia mzigo wao ubungo... nina agent wa mizigo naemtumia


So hufanyi kazi na wateja wa mikoani?kama unafanya,unahandle vip hizo business za mbali?
 
Printing machine inauzwa bei gan mkuu,unanipa inspiration nzuri sana
 
printing ni skills sio mashine.. mashine haiprint.. bali ni mikono yako...

na graphics design pia ni laptop tu au pc nzuri na softwares zako na utundu wako mwenyewe..


biashara ni passion tu ukifanya kitu unachokipenda utafanya vizuri tu...

kuna watu wana mashine za kila aina ila hawafanyi kazi za maana sababu hawana passion na wanachofanya...

kabla hujafanya biashara yeyote kwanza jiulize unaipenda kiasi cha kufanya hata kama haikulipi.. la sivyo utanunua mavifaa na kuhama biashara kila siku


Printing machine inauzwa bei gan mkuu,unanipa inspiration nzuri sana
 
Congrats! Keep it up! Utazidi kusonga mbele. Kwa hakika mkombozi wako ni wewe mwenyewe.
Nategemea wale vijana wanaotumika kisiasa kuponda juhudi za serikali kwamba haziwasaidii watakuwa na la kujifunza
 
Hongera kwako mkuu, kumbe hzi mambo Ni mambo zenye faida kubwa hvo... Naonaga Sana hii kitu kwenye pege hasa za mastaa wengi lazima ukutane na tangazo...
 
Mkuu kuna hii tshirt nimeikuta kwa page yako imetulia sana...sema tu haijaandikwa namba ya simu.
 
Ina maana Jf hujawahi pata faida hata yyt ni vizuri shukurani zako pia ukazipeleka Insta uku ni wakatisha tamaa tu
 

Mbona umetoa maelekezo tu lakini bei ya printing machine hi hujataja.Dunia kubwa mtu mmoja hawezi kujaa
 
Hongera kuna vijana wenngine wanatumia insta kutoa matusi mwanzo mwisho
 
Na kodi hujalipa ngoja TRA wakukakobe kwanza!!! [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…