William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Wanakuja muda si mrefu rafiki zake Le mutuz
Shoga nasikia Le Mbebez hajabadilisha Pensi kuanzia Dar-Mwanza-Dar....
Ama kweli huyu ni baharia wa nchi kavu.
Hayaa ,tuongezee mapicha ya wabebezi wakale wa Mwanza
Lemutuz ni Celebrity pekee wa kitanzania ambaye amehamua kulitumia jukwaa la Celebrity!
Shoga nasikia Le Mbebez hajabadilisha Pensi kuanzia Dar-Mwanza-Dar....
Ama kweli huyu ni baharia wa nchi kavu.
Mkubwa na wanawe
Niliona watu wana mataniii,et shati lake linafunika vitz lo
Ivi ni kweli ukimu abuse mtu kuna papaa linakamata watu humu siku?
Hahahaaaaaaa...we umenichekeshaa