Instagram Party Tanzania Tour 2014 Mwanza Waandika Historia Watu 5,000 Wajitokeza Jembe ni Jembe

Instagram Party Tanzania Tour 2014 Mwanza Waandika Historia Watu 5,000 Wajitokeza Jembe ni Jembe

Joined
Apr 27, 2006
Posts
26,584
Reaction score
10,400


- Instagram Party Tanzania Tour 2014 juzi imeweka historia mpya ya Sherehe hizo zilizoanza mjini Dar Miezi 2 iliyopita baada ya watu Elfu Tano kufurika Ukumbi wa Jembeni Jembe wa Mjini Mwanza kusherehekea Sherehe hizo ambazo kwa mara ya kwanza zimetoka nje ya mkoa wa Dar kuanza na Mwanza juzi. Wakurugenzi wote 4 wa Instagram Party Tanzania Freddy + Gillsant + Bikira wa Kisukuma na Le Big Show wote walikuwepo kwenye sherehe hizo ambazo zilitumbuizwa na Ben Paul, Shilole, Jokate, pamoja na Wabiro. Sasa sherehe hizo zitakazozunguka Tanzania nzima zinahamia Mbeya. - Le Mutuz
 
Ilinogaaaa haswaaaa.
Uwiiiii na nlikula samako wenyewe wanawaita JEMBE'S FISH.
Ni mtamu haswaaaa.
All the way from bk nliwakilisha.
Cc Tyta
 
Last edited by a moderator:
Ilinogaaaa haswaaaa.
Uwiiiii na nlikula samako wenyewe wanawaita JEMBE'S FISH.
Ni mtamu haswaaaa.
All the way from bk nliwakilisha.
Cc Tyta

amu olio? Kumbe ulikuwa wewe sikukufananisha!
 
Last edited by a moderator:
Lemutuz ni Celebrity pekee wa kitanzania ambaye amehamua kulitumia jukwaa la Celebrity!
 
Le Tambaralezzzz Le Baharia naona kawakama wasukuma wakutosha hapo.. Le Big Show ile Mill 40 uliyoinvest hapo bila shaka imerudi..
 
Ivi ni kweli ukimu abuse mtu kuna papaa linakamata watu humu siku?
 
Back
Top Bottom