William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
- Thread starter
-
- #261
Ha ha we shombo akupapatikie nani? Labda hao watoto Wa haramu...
Kama we maarufu mbona ulishindwa ubunge Wa EAC?
Nani anakutukana? Kukwambia ukweli ni kutukanwa?
We kubwa zima bichwa kubwa akili ndogo Kama punje ya haradali....
Nina hakika tukipasua bichwa hilo tutatoa usaha unaojaa kisado....
Yaani 58 years...mkubwa kuliko Obama unawaza u celebrity?
Mbona picha za kuchezewa huweki hapa????????
- Anachezea ban kwa sababu hatengenezi pesa na this game, I make money tena in tons wamenifundisha the Americans namna ya kusimamia your interest hata kama kuna nini you just look and stand for your interest, mimi natengeza pesa hapa na kwenye mitandao kwa ujumla, ninafanya Instagram Party ni kwa sababu ya kuwepo kwangu sehemu kama hizi ndio maana watu wanakuja,
- Safari ya kwenda MWanza ilikuwa ni shiderr kuanzia nilipotokea Uwanja wa Ndege hapa Dar wananchi wakavamia desk la Fastjet wengi wanataka picha gueas what wananiambia tunakujua from Facebook, Isntagram na JF, ikabidi wafanyakazi wa FaSTJET WANIPITISHE KWA milango ya nyuma nyuma mpaka ndani ya ndege, kufika Mwanza yale yale ni vurugu wananchi wanataka picha, sasa kuja kuingia ukumbini ni balaaa from Saa tano usiku mpaka saaa 10 ninapiga picha na wananchi, from there ikawa moja kwa moja kwenye ndege ndio maana nilipofika tu moja kwa moja beach kulala,
- Now ,mimi ninajua kwamba hili ni shamba langu la bibi wewe hujui na huna lolote kazi kuja kujaza tu kurasa halafu mimi nikuksairikie nitakuwa mwendawazimu kwa sababu nikikukasirikia ninajiharibia mwenyewe, Makampuni yote makubwa hapa bongo yana wawakilishi wao wanapitia sehemu zote hizi wananiona, niamini sasa tukiwa tunabishana hapa nimepigiwa simu na mtu aliyeniambia ananiona hapa JF ananialika kesho Osterbay kwenye bash la Celeberities sasa mimi ninawezaje kutukana hapa ni wenda wazimu, sasa unamtukana mtu hapa kwa jina lako la bandia ili iwe nini? Kama umesoma Shule vizuri unatakiwa kuelewa kwamba binadam anayetukana sana matusi ni sawa na debe tupu huwa lina kelele sana,
So people kila mtu akili zake kichwani,
Le Mutuz
- hahahahahahahaha eti umesoma wapi una maana kasulu Kigoma siku hizi kuna Denver University jamani naomba kuondoka sasa maana sasa yatakuja mengine ya kutisha huyu eti kasoma USA basi mkuu sijawahi kukaa huko tena hahahahahahaha
- Le Mutuz
- hahahahahahahaha eti umesoma wapi una maana kasulu Kigoma siku hizi kuna Denver University jamani naomba kuondoka sasa maana sasa yatakuja mengine ya kutisha huyu eti kasoma USA basi mkuu sijawahi kukaa huko tena hahahahahahaha
- Le Mutuz
Muone anavyotisha....
Yaani huo mbichwa na umri wake na anayoyafanya havilingani kabisa...
- Matusi ya kitoto sana haya mkuu tafuta mapaya huku mjini yapo mapya, I mean kumbe unachezewa duh naona umajisema mwenyewe kuwa huwa unachezewa hahahahaha mwanaume mzima kuchezewa maana huwezi kusema njiia huijui duh kumbe ndio maana una picha ya mbwa mwanaume mzima si unajua kazi ya mbwa na wazungu? hahahahahahah
Le Mutuz
Mkuu na wewe weka degree Zako za mbelez Hapa tuzione you kno,mnanifurahisha sana
Mzee sugu huyu utoto yeye,ujana yeye uzee hataki
Huu moyo angebandikiwa warumi sasa hivi tungekua tunakula ubuyu tu,anatuchangamcha bana siku iende maana warumi hayupoo acha tucheke na le supa baharia hatakagi shida na mtu
Teh teh teh
Miaka 58 anafanya vitu vya 25 yrs aibu sana
Niweke za nini? Mi sinaga shobo Kama hilo zee la funza
Ban y binamu inaisha lini kma jela yuko shimo l tewa
27 teh teh
si haki kabisa kulinganisha na turubai...
Duuuh alifanya nini mbona wamempa kubwa hivyo?
27 teh teh
Hahahaha mkuu lakini mwenzio ana degree tatu ujue!
Frankly speaking.. huwa naenjoy sana post zinazomzungumzia huyu ndugu W.J. Malecela...
Hapa stress lazima ziishe.