Instagram Party Tanzania Tour 2014 Mwanza Waandika Historia Watu 5,000 Wajitokeza Jembe ni Jembe

Instagram Party Tanzania Tour 2014 Mwanza Waandika Historia Watu 5,000 Wajitokeza Jembe ni Jembe

Babu na wajukuu zake u know....hahahaaaaa....

- Mkuu Mwanaume mzima utakalia kulia lia na na picha za Wanaume wengine wanakura bataz na mabebezzz wewe utakalia kuchambua mjukuu na kitukuu ila one thing hapa mjini hakuna bash ;la mburulazzz kuna bash la ma celebirty tu kesho Coco Beach kama kawa utaniona VIP Lounge ninakura batazzz ubatn u know, maskini ya Mungu uliumbwa kujadili WAnaume wengine wanakura bataz na mabebez wewe ni kuwapima umri wao hahahahahahahahahahah

Le Big Show
 
Hahahaaaaa,leo siku yangu inaisha vizuri kweli yaaani.....
 
Hata urembue vipi, hilo sura lishaota makunyanzi.Utakuta hao mabebez wakishapiga picha na wewe wanakung'ong'a kisogoni watakuwa wanakushanga baada ya kukaa na wajukuu kuwasimulia hadithi wewe kazi kupuyanga usiku tu.

Naona kavimba tumbo....USO na bichwa lakini hapo center pameyooka Kama nyaya ya umeme hata kutuna hamna usalama upo kweli?

Hivi joto ya dadaz bado panywee tu??

Kuna shida
 
- uMESIKIA au umepitiwa tayari?

Le Mutuz


Naona tu umekaa na stimulators halafu hakuna reaction yoyote....

Ushauri Wa bure umri wako hauruhusu kabisa mambo unayofanya we kima mzee...

Huo USO ushajikataa unavyourembua unajidhalilisha tu maana ukiangalia kwa haraka unaweza fikiri msamba Wa mtoto...
 


- Instagram Party Tanzania Tour 2014 juzi imeweka historia mpya ya Sherehe hizo zilizoanza mjini Dar Miezi 2 iliyopita baada ya watu Elfu Tano kufurika Ukumbi wa Jembeni Jembe wa Mjini Mwanza kusherehekea Sherehe hizo ambazo kwa mara ya kwanza zimetoka nje ya mkoa wa Dar kuanza na Mwanza juzi. Wakurugenzi wote 4 wa Instagram Party Tanzania Freddy + Gillsant + Bikira wa Kisukuma na Le Big Show wote walikuwepo kwenye sherehe hizo ambazo zilitumbuizwa na Ben Paul, Shilole, Jokate, pamoja na Wabiro. Sasa sherehe hizo zitakazozunguka Tanzania nzima zinahamia Mbeya. - Le Mutuz

Acha mbwembwe wewe, umevizia siku ya sikukuu watu wameenda zao mtoko wa sikukuu na wewe ndo ukachomekea hako kaparty kako, bila hivyo ungeambulia 0
 
Naona tu umekaa na stimulators halafu hakuna reaction yoyote....

Ushauri Wa bure umri wako hauruhusu kabisa mambo unayofanya we kima mzee...

Huo USO ushajikataa unavyourembua unajidhalilisha tu maana ukiangalia kwa haraka unaweza fikiri msamba Wa mtoto...


 
Back
Top Bottom