Instagram Party Tanzania Tour 2014 Mwanza Waandika Historia Watu 5,000 Wajitokeza Jembe ni Jembe

Ana digrii 2 na diploma 1 kutokana kipeperushi chake cha kugombea.

"Uchungu wa mwana aujuaye mzazi" Pamoja na kuishi ughaibuni miaka 30,lakini Mzee malecela bado anamfuga huyu jamaa.
 
Attachments

  • 1412707354172.jpg
    36.2 KB · Views: 169
Ndo akili za ndugu zetu hizo...

90% ya maisha yao ni starehe na kupiga soga tuu

Inasikitisha sana. Hapa ndiyo Kikwete anapenda stori kama hizi, yaani wananchi wajisahau kwa ujinga ili yeye na washikaji zake waendelee kula nchi.
 
Katika potapita instagram nikakutana na hii....

Le mutuz usinishambulie nawasilisha tu nilichokiona

Imagine, a man in his almost 60's lakini kichwani kama a child of 12 years old. Yaani jamaa ana age vibaya kinoma.
 
Inasikitisha sana. Hapa ndiyo Kikwete anapenda stori kama hizi, yaani wananchi wajisahau kwa ujinga ili yeye na washikaji zake waendelee kula nchi.

Nimecheka Sana kuona eti nayeye ananishangaa Kama nimesoma ha ha ha ha

Jamaa kapewa kichwa cha kutunza nywele tu
 
"Uchungu wa mwana aujuaye mzazi" Pamoja na kuishi ughaibuni miaka 30,lakini Mzee malecela bado anamfuga huyu jamaa.
Ndo manake yani huyu jamaa pamoja na mbwembwe zake zote na kupiga picha na warembo lkn akirudi nyumbani kwa mzee Joni analala sebuleni
 
Ndo manake yani huyu jamaa pamoja na mbwembwe zake zote na kupiga picha na warembo lkn akirudi nyumbani kwa mzee Joni analala sebuleni

Nadhani mzee John anamwachia Mungu tu hana jinsi ya kufanya ndio mwanae tena.
 
- zimashafika page 10 chezeya Le Big Show wewe, the one and only Tanzania nzima hakunagaaz niambie nani anaweza kufikisha page 10 JF kama sio Le Big Show tu hahahahahahaha haya sasa naenda zangu you know!!

Le Mutuz

Babu me ndio kwanza niko page ya sita
 
Hahaa ruttashobolwa u knw wazee kama lemutuz wanahitaji vibint vidogo vidogo u knw..wakuwaliwaza hahaaaa yes I wl

Hahahaha charty basi we mkareee u knw basi jitahidi upige picha na le baharia mkiwa beach u knw
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…