Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Duuuh alifanya nini mbona wamempa kubwa hivyo?
Alichambanaaa na kina joe 5 sijui, ni shidaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuh alifanya nini mbona wamempa kubwa hivyo?
Ana digrii 2 na diploma 1 kutokana kipeperushi chake cha kugombea.
"Uchungu wa mwana aujuaye mzazi" Pamoja na kuishi ughaibuni miaka 30,lakini Mzee malecela bado anamfuga huyu jamaa.
Ndo akili za ndugu zetu hizo...
90% ya maisha yao ni starehe na kupiga soga tuu
Katika potapita instagram nikakutana na hii....
Le mutuz usinishambulie nawasilisha tu nilichokiona
Inasikitisha sana. Hapa ndiyo Kikwete anapenda stori kama hizi, yaani wananchi wajisahau kwa ujinga ili yeye na washikaji zake waendelee kula nchi.
Ndo manake yani huyu jamaa pamoja na mbwembwe zake zote na kupiga picha na warembo lkn akirudi nyumbani kwa mzee Joni analala sebuleni"Uchungu wa mwana aujuaye mzazi" Pamoja na kuishi ughaibuni miaka 30,lakini Mzee malecela bado anamfuga huyu jamaa.
Ndo manake yani huyu jamaa pamoja na mbwembwe zake zote na kupiga picha na warembo lkn akirudi nyumbani kwa mzee Joni analala sebuleni
- zimashafika page 10 chezeya Le Big Show wewe, the one and only Tanzania nzima hakunagaaz niambie nani anaweza kufikisha page 10 JF kama sio Le Big Show tu hahahahahahaha haya sasa naenda zangu you know!!
Le Mutuz
Babu me ndio kwanza niko page ya sita
Hahaaa wory out mbebez!!will marry u...le bilionarie u knowwww...ze one and only...tzzz- Charty le mbebezzz nakupenda bure babay please marry me baby U know!! hahahahahahaha
Le Big Show