Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
- hahahahahaha uliyoyafanya umeyafanyia wapi kwenu kijijini nini maana hapa mjini hakuna anayekujua mkuu wewe nyamaza ule habari za wakareeez Le Big Show ngoja mimi niendelee kufanya utoto unaodhaminiwa na makampuni makubwa kama TBL u know si unajua ndio waliokuwa our main Sponsors U know na Tigo kumbe hawa kazi yao ni kusimamia utoto saafi sana
Le Mutuz
Wanaotumia anonymous ID wote unawajua?
Kwahiyo maendeleo kwako ndo hizo party za mataahira?