William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
- Thread starter
-
- #141
Miaka mitatu lini wakati jf nimejiunga mwaka huu JANUARY?
Babu mbona unajiazilisha mchana kweupe?
Wewe uliekimbia child support USA ndo umuoe dadangu?
Mi ntaendelea kukupa nyundo mpaka ubadilike kima wewe
- hahahahaha Malecela yupo London sasa hivi nikupe namaba yake umpigie ili awe baba yako mpya? hahahahahahaha badala ya kunikasirikia mtafutie dada yako mume mpya mimi nina mchumba sasa hivi dogo dogo na Msomi wa kutupwa U know, wewe ndio ubadilike ili umiliki mashamba ya kumilikiwa na TBL na TIGO badala ya UKAWA, maana wote mnakufwa soon U know hahahahahaha badilika kaka ili uwe mtoto wa Malecelaa kama unavyosema eti anakusikiliza sana wewe kuliko mimi sawa sasa kwa nini usijiite le Mbruulazzz Malecela? hahahahahahahahaha
Le Mutuz