Instagram: Vita kati ya Lulu na Gigy Money dhidi ya Mwanamuziki TEKNO

Status
Not open for further replies.
All and all kitendo Cha tekno kuja bongo kumekuza sana jina gigy money.wengi tulikuwa hatumjui huyo Demu lakini mmefanya tumjue hivyo kuanzia January hii gigy money atafanya Sanaa biashara .na huu uzi mmemfanyia sana promotion hongera sana marketing manager wa gigy money ume fanya Kazi nzuriii
 
Kuna vitu vinatia aibu kweli jaman daaaaaa
 
Hahahaa mimi nikimuona gigy jamaniii najiskia ovyo,anatudharirisha huyu Dada dooh
Gigy manyapu nyapu na bukta lake jekundu mimi hapana...
Hahahahahaa mimi huwa najisikia kichefuchefu kwakweli.
Sijui namuonaje?
 

Kama malaya aambiwe tu,Wamezidi.
 
Hahahahahaa mimi huwa najisikia kichefuchefu kwakweli.
Sijui namuonaje?
Hahahaa alishanibloku mda maana kuna siku nilishindwa kuvumilia teh... Alichomjibu sudi brown ndio nilichoka roho na mwili
 
Hahahaa alishanibloku mda maana kuna siku nilishindwa kuvumilia teh... Alichomjibu sudi brown ndio nilichoka roho na mwili
Nasikia a/c yake imefutwa insta shoga!
 
Ila gigy yuko vizuri kimtindo tena yule anafaa sana kwa kupitia milango miwili
 
Hahahahahaa mimi huwa najisikia kichefuchefu kwakweli.
Sijui namuonaje?
Mmh page imefutwa kwanini, mpaka nichungulie kwa fekero maybe ntajua...
 
Last edited:
nifah warumi Mkoroshokigoli muwe mnanitag huko insta precious.doo
Ha ha ha,me huko huwa nachungulia tu,kama huyu bint nilikua simjui ndo nikasach nimuone,aaah kumbe wa kawaida hana status yoyote ile,kwa zile picha na post nimegundua kuwa yeye anawinda watu maarufu anapiga nao picha,au anaweka picha za ajabuajabu,nimeona picha amepiga na Captain Gardener,nimeona baadh ya post anamtag wemer umeme,sioni kama ana kiipya kwakweli
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…