Instagram: Vita kati ya Lulu na Gigy Money dhidi ya Mwanamuziki TEKNO

Instagram: Vita kati ya Lulu na Gigy Money dhidi ya Mwanamuziki TEKNO

Status
Not open for further replies.
mimi nashañgaa eti wanaomshobokea gigy wakat demu mwenyewe mbàyaa hàta shepu hana
shepu anayo lakini, ila sura sio kihivyo, gigy kaumbika sema mcharuko umezidi yani sijui yupoje
 
Gigy yuko rough sana,hajui kuvaa....
Mchafumchafu yani tabu tupu!
Niliona kwenye youtube interview yake moja yaani anazungumza huku kinywani mwake mimate mate tu inapishana,,,, ofcoz ni mchafu flani
 
Hawa watoto wanapenda kucheza na watoto wenzao, yule bosi aliyeua atc alivomkomesha defao natamani angewapitia hawa kina wema, lulu na wengine matakomatako, mji ungekuwa na heshima!
 
Huyo Tecno nae mchafuzi sana.Masogange alitoka Sauzi kuifata dushe yake Naijeria na alivyo mshenzy akapelekwa hadi kwa mama yake Tecno.tit for tat picha zote zimefutwa masogange yupo bongo kimyaaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom