Instagram: Vita kati ya Lulu na Gigy Money dhidi ya Mwanamuziki TEKNO

Status
Not open for further replies.
Watu dizaini ya Gigy Money hawaniumizi kichwa kabisa-- hata akivua nguo wakati yupo Live CNN kwangu aibu hiyo itakuwa yake na ndugu zake. Na hata hizo shobo zake ni kawaida sana; tena sana-- hata TECNO hawezi shangaa coz' anakutana nazo kila anakoenda.

Raia walio nje ya hili duara la wasanii ndio wanaweza kuona ni big deal. Hata Kibongobongo; msanii ukitoka Dar unaenda mkoa; lazima ukutane na akina Gigy Money wa huko-- LAZIMA! Tena kwenye baadhi ya miji hapa hapa TZ kuna akina Gigy Money special kabisa ambao kila msanii anayeenda huko, lazima apewe hisani na kuna wengine wanaletwa na mapromota! Hivi watu hamujiulizi mtu kama Mboni ilikuaje akamfikia hadi Etoo!!! ALIPELEKWA na kwa Etoo hiyo kwake wala haiwezi kuwa ilikuwa ni mara ya kwanza coz' that's how celebritiessphere works wherever you go!
 
Duuh...okei sawa
 
nifah gigy alifanikio kulala na tekno na siku mbili kabla ya show niliwaona mitaa kariakoo pamoja ila tekno hana mponda ili apate nafac ya lulu
Hata mimi naamini hivyo,Lulu alivyo mjinga akafuraaahi mwenyewe.
Ni mwanamke mpumbavu pekee asiyewajua wanaume anayeweza kuamini aliyoyasema Tekno.
 
Hata mimi naamini hivyo,Lulu alivyo mjinga akafuraaahi mwenyewe.
Ni mwanamke mpumbavu pekee asiyewajua wanaume anayeweza kuamini aliyoyasema Tekno.
Kwani yale yaloandikwa kwenye ile page yaneandikwa na mwenye page au mtu mwingine?
 



next time wewe mleta mada jaribu kujipanga vizuri kuleta uongo wako hapa hii mbona naona kama ni umbea tuu sasa hiyo post ilikua ni kwa dakika 20 lakini wewe umescreenshort ikiwa ina masaa tisa sasa hizo dakika 20 vp tena mbona zilizidi mpaka masaa tisa kingine ulisema ndani ya dakika chache ilikua na comment zaidi ya 1000 lakini according to your screenshort hiyo picha ilikua na masaa tisa but ilikua na like 11 tuu sasa hiyo ni akaunt sahihi ya tecno au kuna mtu kabadilisha user name instagram ili mmchague huyo gigy money alaff mkajitia mnascreenshort ila wabongo wengi hamnazo sana hebu jipange next time ukitaka kutengeneza skendo uwe unajaribu kushawishi hadhira ila mimi hujanikamata ata kidogo nakuona mpumbavu tuu hujielewi jipange mdada
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…