huyo gigy huko alipo sijui atajisikiaje,kuitwa malaya mmh,ila swali je nani aliyemfundisha tekno kiswahili? hata kama huyo tekno inabid tumnyooshe adabu haiwezekani hatudhalilishie dada yetu hata kama ni malaya , mbwa huyo kumanina zake si anajifanya anashoboka kwa lulu, ngoja amuue ndo ashike adabu
Pole sana Dogo kwa kuingizwa mjini, ulkuwa huwajui wa TZ eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh, ni NOMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAHali si hali,balaa tupu Instagram kumechafuka ndani ya dakika 20 alizozitoa Super Star kutoka Nigeria Teknomiles hazijatosha kwani comments za wadau wa umbea zimefika 1000 na zaidi!
Yote haya yalianza baada ya mwanamuziki huyo (yes ni mwanamuziki na sio msanii) kuja nchini kwenye tamasha la muziki la siku ya kuamkia mwaka mpya tarehe 31 Alhamis iliyopita,sasa wadada wa mujini kama kawaida yao kila mmoja akataka kulala na Star huyo (what a shame).
Vita kubwa ilikuwa kati ya Lulu na Gigy Money (mwanadada anayetafuta umaarufu kwa nguvu mjini hapa)
Leo mchana huu mwamuziki huyo kutoka Nigeria katuacha midomo wazi kwa alichopost Instagram kama ifuatavyo....
Cha kujiuliza ni nani kamfundisha kiswahili tena kilichonyooka namna hii?
Tuliowahi tumescreen shot,jioneeni wenyewe....
View attachment 314834
See Why Tanzanians Are Telling Tekno To Rest In Peace - UpdateBaseNdugu yangu mtanzania mwenzangu ningekushauri ukae mbali na hawa masuper star wenye uwezo wao kwani kukurudi ni rahisi kwa ajili ya uwezo wao. Kumtukana kwako ni kosa la kisheria na fidia ya star kama huyo ni hela ndefu mbali ya gharama za mawakili. Tatizo hapa lipo kwa dada zako na tabia zao za kujirahisi na kujidhalilisha. Sasa kama nao hawawezi kujitofautisha na wale wa mabarabarani na kujiuza usiku kucha sasa utawaita jina lipi? Sasa ujanja alioutumia huyu dada yako wa kulala na meneja wa Tekno baadae kuomba kupiga picha na Tekno na kudai ndie alielala nae unaona ni mazuri? Kwanza hapo kasahaulika dada yako mwingine Masogange ila ana uzi humu ndani ukimwonyesha akiwa kitandani chumbani kwa Tekno huyo huyo na nyingine akiwa na Davido chumbani kwake na kitandani. Uelewe kwa hawa dada zako sifa ni kuwa katembea na star hata kama hawana faida nyingine zaidi ya pombe watakazonyweshwa basi.Sema nami kama binadamu na niliewasikia waliotembea na huyo ..........wajiandae kuandika na wosia kwani sio kila kingaacho ni dhahabu.Ila simulizi zipo kuwa kama hukutahadharishwa na yeyote na umeshaingia tayari malaika wanaweza kukutema ila alietahadharishwa na akaenda kwa jeuri ya mvuto na tamaa hao ndio utashangaa watakavyokwea mipapai na pikipiki zao.
See Why Tanzanians Are Telling Tekno To Rest In Peace - UpdateBaseokay nilijua Lulu Elizabeth Michael
See Why Tanzanians Are Telling Tekno To Rest In Peace - UpdateBaseNi hela wanatafuta au ile prestige tu kwamba nimetembea na flani?Icho kiswahili anaeza akawa katumiwa na mbongo.
See Why Tanzanians Are Telling Tekno To Rest In Peace - UpdateBaseHali si hali,balaa tupu Instagram kumechafuka ndani ya dakika 20 alizozitoa Super Star kutoka Nigeria Teknomiles hazijatosha kwani comments za wadau wa umbea zimefika 1000 na zaidi!
Yote haya yalianza baada ya mwanamuziki huyo (yes ni mwanamuziki na sio msanii) kuja nchini kwenye tamasha la muziki la siku ya kuamkia mwaka mpya tarehe 31 Alhamis iliyopita,sasa wadada wa mujini kama kawaida yao kila mmoja akataka kulala na Star huyo (what a shame).
Vita kubwa ilikuwa kati ya Lulu na Gigy Money (mwanadada anayetafuta umaarufu kwa nguvu mjini hapa)
Leo mchana huu mwamuziki huyo kutoka Nigeria katuacha midomo wazi kwa alichopost Instagram kama ifuatavyo....
Cha kujiuliza ni nani kamfundisha kiswahili tena kilichonyooka namna hii?
Tuliowahi tumescreen shot,jioneeni wenyewe....
View attachment 314834
Tanzanian model pregnant for Davido?dah uko wa Masimba tulijisikia aibu sana kipindi kile..
Hahahaa, pesa mama pesa...yani kwakweli hata hawaendani sema ndio hivyo tena mastaa njaa ata sura iwe imepinda vipi ukiwa na pesa kwisha habari yao.Japo mapenzi ni ya wawili ila hamisa nae sijui kwanini alizaa na huyo dj mwenye pua kama uyoga, she is too cute she deserve the best sio huyo panya road majizo (siku wakirudiana sura yangu ntaificha kwenye dumu la tindikali)
Hahahaa wabongo ni tatizo,siku waliomtukana yule Dada wa kihindi aliekuwa tuzo moja na domo ndio nilinyoosha mikono, daah watu walienda mpaka kuuza mashuka kwa page yake....Tz kuna misuse ya social mediasPole sana Dogo kwa kuingizwa mjini, ulkuwa huwajui wa TZ eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh, ni NOMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
See Why Tanzanians Are Telling Tekno To Rest In Peace - UpdateBase
Huyo jamaa amenichekesha sana makeke na dharau nyingi na ujuaji kumbe tatizo lake ni kushindwa kujua kuwa kuna tofauti kati ya likes na comments....sikutegemea jambo hili kutokea...nimecheka sana..Jf ni kisima cha burudani...
Bhana eh, yaani huu ulimwengu wa dijitali una viroja hadi basi... yaani mtu amekazana kusema uongo kisa; "mbona ulisema comments 1000 wakati Likes zenyewe ni 11 tu!!!" Sie watu wa ukanda huu ukimsikia mtu anakuambia "huyu vp huyu, wenzake tunahesabu nazi ye anahesabu makumbi!!" nadhani hii kauli ina-fit sana kwa jombaa pale!Huyo jamaa amenichekesha sana makeke na dharau nyingi na ujuaji kumbe tatizo lake ni kushindwa kujua kuwa kuna tofauti kati ya likes na comments....sikutegemea jambo hili kutokea...nimecheka sana..Jf ni kisima cha burudani...
Ulicho kiandika si nilicho kishangaa kutoka kwako...! Swala la time inawezekana kabisa ni setting ya simu yenyewe!kwa akili zako akaunt ya tecno katika masaa tisa awe na like 11
Yaani Instagram Management wangekuwa wanafahamu Kiswahili, nadhani wangepiga ban kabisa Tanzania mzima isiwe na access na huu mtandao--- yaani we're insane!!Hahahaa wabongo ni tatizo,siku waliomtukana yule Dada wa kihindi aliekuwa tuzo moja na domo ndio nilinyoosha mikono, daah watu walienda mpaka kuuza mashuka kwa page yake....Tz kuna misuse ya social medias
Wapo wenye pesa bwana type ya hamisa sio huyo kiaziHahahaa, pesa mama pesa...yani kwakweli hata hawaendani sema ndio hivyo tena mastaa njaa ata sura iwe imepinda vipi ukiwa na pesa kwisha habari yao.
kwa akili zako akaunt ya tecno katika masaa tisa awe na like 11
mkuu mbona mimi nipo sema wewe ndo umekuwa adimu kama chozi la samaki ...soon nakuja na story hoot za huyo lulu kaa mkalo wa kulaaSanaaaa,mzee wa totoz za mjini umepotea kinoma noma.
Tupe basi khabari kidogo mkuu?
Wewe umezidi kunidanganya bwana mkuu,kuna kipindi uliniambia utatuwekea screen shots ya chats zenu hadi leo umepita mwaka sasa!mkuu mbona mimi nipo sema wewe ndo umekuwa adimu kama chozi la samaki ...soon nakuja na story hoot za huyo lulu kaa mkalo wa kulaa
kwa akili zako akaunt ya tecno katika masaa tisa awe na like 11
Mie nilitaka nimwambie Mheshimiwa rais wako atusaidie basi kuweka hapa genuine account ya Tekno lakini nikaona ni kupoteza muda manake asingefanya hivyo!!kwani mtu akipost tu likes zinacount elf moja, si inaanza moja hadi elf moja sasa si aliscreenshot wakati likes zipo 11