Zuhura anatumia jina gani insta nimfuateko maana naona nakereketwa kumfahamu afu hatokei kwa listEeeh...walikua mashost,ila zuhura hakuzaa na majizo japo anae mtoto sina uhakika baba ni nani,anatangaza clouds I think huyu dada
Ila malipo ni hapahapa duniani....wasichana sijui tunafikiriaga kwa kutumia mapua ama hata kujiongeza tu mwanaume kamuacha fulani kisa wew....nawe hufikirii ipo siku utaachwa kwa ajili ya mwanamke mwingine tena usikute rafiki yako....Mmmh eti nawe unamringia aloachwa unamchamba unamtukana na taarabu juu..mfyuuuEeeh...walikua mashost,ila zuhura hakuzaa na majizo japo anae mtoto sina uhakika baba ni nani,anatangaza clouds I think huyu dada
Teh, hawa wachambaji watuonee huruma wenzao maana duh,young killer sijaiona ntaipitia hioShoga nimechekaje?Sasa hivi kachambwa Esma na kwa baby_ake kachambwa Young Killer.
Hahahahaaa
Gorazuhura dear,ni host wa 5gear,ana shingo ka twiga ndio alikua bestie wa hamisa mpaka unyakuzi ulivyotokeaZuhura anatumia jina gani insta nimfuateko maana naona nakereketwa kumfahamu afu hatokei kwa list
Ni ujinga tu,mimi siwezi kugombana na mwanamke mwenzangu sababu ya mwanaume...mtu anakuonyesha vitimbwi unatulia tu unasubiri na ye yamkute kwanzaIla malipo ni hapahapa duniani....wasichana sijui tunafikiriaga kwa kutumia mapua ama hata kujiongeza tu mwanaume kamuacha fulani kisa wew....nawe hufikirii ipo siku utaachwa kwa ajili ya mwanamke mwingine tena usikute rafiki yako....Mmmh eti nawe unamringia aloachwa unamchamba unamtukana na taarabu juu..mfyuuu
Asante....ngoja nsipoteze muda tunaenda na reference zaidi...hahaha umbea huu daaa yaani usingizi haupandi kabisaGorazuhura dear,ni host wa 5gear,ana shingo ka twiga ndio alikua bestie wa hamisa mpaka unyakuzi ulivyotokea
Alafu watu ambao viuno vyao vimebinuka kwa kujibinua sijui wanashida gani.....ujue ndo wanaongoza kwa unyakuzi....Ni ujinga tu,mimi siwezi kugombana na mwanamke mwenzangu sababu ya mwanaume...mtu anakuonyesha vitimbwi unatulia tu unasubiri na ye yamkute kwanza
Mwee kumbe haka....chembambaaaa kama kinaenda vunjika nishakiona clouds km sikosei kinatangaza garigari things kama sijakosea😕😕Pole zakeeNi ujinga tu,mimi siwezi kugombana na mwanamke mwenzangu sababu ya mwanaume...mtu anakuonyesha vitimbwi unatulia tu unasubiri na ye yamkute kwanza
Hahahaa wenzio wanafanya mazoezi ya viuno...tehAlafu watu ambao viuno vyao vimebinuka kwa kujibinua sijui wanashida gani.....ujue ndo wanaongoza kwa unyakuzi....
Eeh huyo huyo,majizo anapenda vimbaumbau inaonekana...Mwee kumbe haka....chembambaaaa kama kinaenda vunjika nishakiona clouds km sikosei kinatangaza garigari things kama sijakosea😕😕Pole zakee
Lulu Sio kimbaumbau sema kanajimantainisha tu kakinenepa kidogo katakua kama box ..Ndio maana mazoezi kwa sanaEeh huyo huyo,majizo anapenda vimbaumbau inaonekana...
Ili wanyakue vizuriHahahaa wenzio wanafanya mazoezi ya viuno...teh
NAY WA MITEGO alisema hivi:malaya wa viwango wapo bongomovie.Nay wa mitego alishasema haya, sema watu wakamuona mbaya....
Vyupi vinavuliwa tuu! Lol
Umetishaaaa,nimekupendaje?Hii ndio falsafa yangu....Ni ujinga tu,mimi siwezi kugombana na mwanamke mwenzangu sababu ya mwanaume...mtu anakuonyesha vitimbwi unatulia tu unasubiri na ye yamkute kwanza
Ni video vixen pia,hana lolote malaya tu nae.Gorazuhura dear,ni host wa 5gear,ana shingo ka twiga ndio alikua bestie wa hamisa mpaka unyakuzi ulivyotokea
Nifa unamuita mwanamke mwenzako malaya??Ni video vixen pia,hana lolote malaya tu nae.
Kuna kipindi alikuwa anakuja sana magomeni kumfuata mkaka mmoja chotara hivi.....
Ngoja niishie hapa nisiexpose ID yangu.
Unamstahi kiduchu mkuu unamfichia aibu yakeNini mbaya kwani?Kisa mwanamke mwenzangu ndio nisiseme?
Hahah inaonesha unamjua vizuri,huyo mtoto sio wa majizo lakini eeh?Ni video vixen pia,hana lolote malaya tu nae.
Kuna kipindi alikuwa anakuja sana magomeni kumfuata mkaka mmoja chotara hivi.....
Ngoja niishie hapa nisiexpose ID yangu.