Huyu Gigy dish lilishayumba kitambo amebaki kuvua nguo na kubaka watu...Afadhali na wewe uliiona,jana niliangalia marudio yake nikabaki mdomo wazi!
Huyu mtoto ana laana,sio bure!
ahahah uwiii ungekua teja au shoga, ahahaah lolMitoto ya kinondoni hiyo.. namshukuru mzee wangu tulihamaga huko kitambo,, muda huu na mimi ningeshakuwa teja!!
shepu anayo lakini, ila sura sio kihivyo, gigy kaumbika sema mcharuko umezidi yani sijui yupojemimi nashañgaa eti wanaomshobokea gigy wakat demu mwenyewe mbàyaa hàta shepu hana
si ndo mambo ya kinondoni hayo ya kina bilaliHahahahahaa binamu mchokozi sana
Niliiona huyo binti hana akili timamu kabisa.....Umeona ile picha ya jana ya 'I got big booty'?
Mie sasa hivi nimeshamzoea,namuona kawaida tu kwakweli.
Duh ningekuwa mdudu yoyote lakini sio Shoga aiseeee...! Futa hiyo kauli wangu!ahahah uwiii ungekua teja au shoga, ahahaah lol
Niliona kwenye youtube interview yake moja yaani anazungumza huku kinywani mwake mimate mate tu inapishana,,,, ofcoz ni mchafu flaniGigy yuko rough sana,hajui kuvaa....
Mchafumchafu yani tabu tupu!
duro ngoma kali sanaHuyo tecno kaimba wimbo gani?
Na huyo Dada yenu anashughulika na nini hadi kawa maarufu?
Iv lile shepu lake kama dodoki la kuoshea vyombo ni kwa hisan ya Mchina au Muumba??Gigy yuko rough sana,hajui kuvaa....
Mchafumchafu yani tabu tupu!
usiitukane Dar es salaamMitoto ya kinondoni hiyo.. namshukuru mzee wangu tulihamaga huko kitambo,, muda huu na mimi ningeshakuwa teja!!
Hanaga aibu uyo demu.Yaani anatafuta umaaarufu kinguvu sanaAibuuu ya kufungulia mwaka kwakee huyo mdada daaah