Instagram wadada wengi wa kibongo wanapiga na weka picha kuonesha kalio

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
2,073
Reaction score
2,026
Salama wakuu....

Aisee yani leo ndo nimeamua kubrowse insta, nimekuwa na akaunti insta lakini siitumia mara kwa mara sasa leo nikaona ngoja niperuziperuzi kidogo!

Ee bana eeh!! Yani kule kumejaa picha za wadada wakionesha makalio na hips tu, hakuna wabaya kule kila mmoja ni mrembo ana tako au hips au vyote!!

Wanadada wanafanya biashara labda ya nguo lakini anaanza kwanza kutandaza tako lake ndo mengine yanafuata. Aisee! Kwa wazee wa mizigo kule ndo kwa kutembelea mara kwa mara!

Ila tuache utani watoto wa kibantu wazuri bana kuanzia maumbo mpaka sura. Sijapoteza macho ya kuangalia warembo mimi!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupia na wewe msambwanda wako opposite kitunguu swaumu. Uende nao sawa.
 
Hahaha siye wanaume ndio tumewafanya wawe hivyo, maana hata akijipodoa vipi usoni,sisi bado tunaangalia matako.
 
"Kama huna shepu vaa kigodoro" alisikika msanii mmoja
 
Wameshajua ako ndio kaugonjwa ka Me walio wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…