Instagram, WhatsApp & Facebook all Down! Worldwide 04/10/2021

Instagram, WhatsApp & Facebook all Down! Worldwide 04/10/2021

FA4YpbsWUAQppBq
 
Wana pima wateja wao mmekuwa addicted kiasi gani.
Lucky for me niliamua kutopendelea sana hii mitandao yote ikiwemo na twitter.

Nilijifunza siku CCM na January waliyoifanyia zengwe JF 2015 tukahamia Kenya talk.
Niliteseka sana nikasema lazima niitawale mitandao isitawale akili yangu.
 
Hapa ndio pakujifunza umuhimu wa kuwa na Apps zetu wenyewe (Watanzania) ambapo kama tungekuwa wazalendo tunge support developers wa hapa Tz ili wakitoa app ya social media kama insta na Fb tuzitumie za kwetu zaidi na tuwe addicted na za kwetu zaidi ya za nje...China wana apps zao na hadi search engines zao kama ilivyo google na wanalazimika kutumia za kwao tuu.
 
Back
Top Bottom