Instagram, WhatsApp & Facebook all Down! Worldwide 04/10/2021

Hapa ndio pakujifunza umuhimu wa kuwa na Apps zetu wenyewe (Watanzania) ambapo kama tungekuwa wazalendo tunge support developers wa hapa Tz ili wakitoa app ya social media kama insta na Fb tuzitumie za kwetu zaidi na tuwe addicted na za kwetu zaidi ya za nje...China wana apps zao na hadi search engines zao kama ilivyo google na wanalazimika kutumia za kwao tuu.
And bado wanatumia vpn kupost twitter , insta, na fb?
Itachukua muda mrefu sana kuja kuwafikia hao.na bado hawajaishia hapo
 
FA4YpbsWUAQppBq
Hahahaa
 
Hapa ndio pakujifunza umuhimu wa kuwa na Apps zetu wenyewe (Watanzania) ambapo kama tungekuwa wazalendo tunge support developers wa hapa Tz ili wakitoa app ya social media kama insta na Fb tuzitumie za kwetu zaidi na tuwe addicted na za kwetu zaidi ya za nje...China wana apps zao na hadi search engines zao kama ilivyo google na wanalazimika kutumia za kwao tuu.

Izi sijui social network za kibongo ni changamoto, nilitumiwa link ya sijui twiro au tiro ni social app. Kusema ukweli sijawai kuona ule upotevu wa muda bora. Yan naona wanao develop ecommerce wanajitahidi kuliko wale social app
 
kilichotokea ni inshu ya configurations kwenye router ya kwenda kwenye datacenters zao
 
Back
Top Bottom