INSTINCTS ARE MATHEMATICAL / MACHALE NI MAHESABU :: From my personal experience as a Data Engineer and Computer Programmer

Shida sio ku store data. Shida ni processing. Kama mtu nawezo kustore data zote hizo na ku processes nakuhahikishia leo hii tungekua tunauwezo kwenda kwa speed ya mwanga

Hii ndo advantage ya computer, data processing & in higher speed. hapa ndo tofauti kubwa ya ability ya watu na computer
 
Kuna study inasoma mchezo wa DNA, na ilipofikia ni mbali sana na hatari, hadi kuna siku elon musk alitweet kwenye account yake akasema "I told you this is dangerous". Nikipata hio tweet ntakuwekea hapa.

Binadamu tutajimaliza kwa nguvu zetu wenyewe. Huo ubongo ambao una capacity kubwa ndio unahangaishwa kutengeneza vitu vyenye capacity kubwa zaidi kuuzidi
 
Mada nzuri, ubongo naamini hauna limit, AI zikianza itafikia ukomo pale ubongo unapofika mwisho ila hazwezi kwenda zaidi ya ubongo, nina amini hivyo
 
Haahaaaaa Pole mkuu..... ila kiufupi kabisa ni kwamba. Ubongo unafanya calculations na kujifunza 'sub-consciously' bila sisi kujua. Matokeo ya huko kujifunza ndio machale sasa hayo
Shukran mkuu. Yani mimi nilidhani umemiksi na kilugha
 
Mada nzuri, ubongo naamini hauna limit, AI zikianza itafikia ukomo pale ubongo unapofika mwisho ila hazwezi kwenda zaidi ya ubongo, nina amini hivyo
You have a point.

Ila hio probability ni 50/50 coz ubongo una tabia ya kuevolve, sasa kama hizi systems zikifikia kuwa angalau 80% kama ubongo na zikaweza ku-evolve basi hapo ni hatari coz hazitakua na limit. Na hilo swala la kuevolve ndilo linawaogopesha hata watu wenye akili sana duniani, na ndio reason kubwa Billionaire elon musk anapinga maendeleo kama hayo kwenye A.I
 
Mada nzuri, ubongo naamini hauna limit, AI zikianza itafikia ukomo pale ubongo unapofika mwisho ila hazwezi kwenda zaidi ya ubongo, nina amini hivyo
Huu ndo ukweli unajua hakuna mtu aliyetumia akili yake kwa asilimia 💯
 
Hakuna mwanadamu aliyetumia akili yake kwa 💯 mpaka Leo, Sasa hizo AI zitaipitaje ubongo ambao hatujawe ku-unlock kwa asilimia 💯
 
Hakuna mwanadamu aliyetumia akili yake kwa 💯 mpaka Leo, Sasa hizo AI zitaipitaje ubongo ambao hatujawe ku-unlock kwa asilimia 💯
Self-evolving mkuu. Ni kama sisi binadamu ubongo wetu unavyo evolve kutoka kula raw food had kujua kwamba tunaweza kupika, hadi kugundua moto etc......

A.I ikifikia hio hatua basi ni hatari sana. Kuna neno kitaalamu linaitwa SINGULARITY ndilo linaelezea hio state nnayoisemea hapa. Na huwezi amini kuna watu wanahangaika usiku mchana kufika huko
 
Mim A.I nilchokuja gundua kwanin every time AI system inatakiwa kuwa train kwangu mim nikama inakaririshwa huwez kuwa creative kwa kutegemea Kuna mtu wa kukaririsha (train)

Katika eneo ambalo AI system haijawa train haiwi effective ndo point ya cognitive abilities inakuja yaani ubongo una cognitive abilities kubwa sana
 
Mim A.I nilchokuja gundua kwanin every time AI system inatakiwa kuwa train kwangu mim nikama inakaririshwa huwez kuwa creative kwa kutegemea Kuna mtu wa kukaririsha (train)
Ofcoz, ila hapo ni tulipo kwa sasa. Lkn tunakoelekea njia nyngine zitakuja kureplace hii traditional training.
 
Masterpiece work mkuu. Yaani humu kwa sisi wadau wa 4IR na web 3 tuna enjoy sana.

By the way, mathematics is life.
 
Hata ubongo wa binadamu pia una karirishwa (train)tokea mtoto mpaka unakua kuweza kupambanua..
Ni vile vile kwa AI pia jinsi unavyukuwa unazidi kukaririshwa(train), ndio ndivyo unavyo evolve, na ni kweli mbeleni utakuwa na mind of its own.

Kwa level tu ya sasa, AI inauwezo wa kutambua vitu ambavyo kwa binadamu huwa tunakuwa na human error kama mfano kwenye Healthcare sector, AI inatambua magonjwa ya saratani kwa 99% accuracy kushinda binadamu...

Evidence pia imeonyesha AI sasa ina uwezo wa ku reason na binadamu na huwezi kuimanipulate, inakupa makavu ukiongea utopolo.....

Kama ilivyo human nervous system, pia AI imetengenezwa kwa mfumo huo huo, sasa kama the best of the best minds ndio zinakesha kila siku kuzikaririsha AI system,
mimi kapuku wa dunia ya tatu, nitasemaje kuwa nina uwezo kulingana na efficient au intelligence of an AI system.
Mamilion ya kazi yanapotea kwa kasi duniani kwa kuchukuliwa na hizi efficient AI system mpaka kuna vitengo vya serikali nchi za ulaya vinavyohusika na kulinda maslahi ya binadamu kutokuwa replaced na AI.

Hivi vitu vina fikirisha na kuogopesha haswa kwa upande wa computer, isifikie ikaanza kufanya desicion making naona ni hatari kuliko level hii ya kutoa suggestions
 
Brother, sio mtalaam wa mambo ya computer lakini nimekuelewa sana. Wewe ni mwalimu mzuri sana. Umefafanua vizuri kabisa katika Lugha yetu adhimu ya kiswahili. Yaani naamini kabisa, ukinifundisha programing naelewa kabisaa....
Much Obliged.
 
Shukran mkuu.
 
Nmefuatilia sana mijadala ya namna hiyo.

Mimi naona kufananisha ubongo wa binadamu na matokeo ya ubongo wa binadamu ( computer ) ni kukosa maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…