mti wenye matunda ndio upigwao mawe...yan watu mnahangaika kuiponda IFM... hamchoki?
Na waongo hawana ushahidi. Mbea anazungumza ukweli ila hajaruhusiwa tu.
ila wambea wa Jf wanaongea vya uongo na ushahid wanakua nao yan wamegubikwa na nguvu za giza...wambea wa humu ni tofauti na uwajuao
Mtu na akili zko hauwez kuacha udsm ama mzumb ama ardhi ukaend ifm vilaza na masalia wote wa shulen kwngu wali2pwa ifm tena 2nd choice
Mkuu umekosea!! Kama nataka kwenda kusomea medicine au kilimo na nna one nzuri ntaenda udsm na hiyo ardhi au mzumbe?
Wadogo zangu,
wengi wenu mnachanganyikiwa pindi mnapomaliza vyuo wa sababu ya high expectation kama hizo.
Unaweza kufaulu vizuri sana lakini ukafika mtaani na kuhesabu miaka nenda rudi bila ya kuwa na ajira, yote hiyo kwa sababuu ya dharau na dhihaka mnazoziomesha wakati mwingine Mungu anaamua kuwapigaa kofi ili mjifunze cha kuujifunza.
Kusoma ni jambo moja lakini network na watu ni jambo liingine, kwenye yote hayo dharau na majivuno ya kusoma sijui UD, ardhi, mzumbe na kudharau taasisi kama TIA, IAA, IFM na nyingine ni kosa na dhabi pia.
Malizenii shule mkifika mtaani mtajutaa na kusaga meno utatamani hata uajiriwe kuwa msaga mashine.
acheni dharau, mwombeni Mungu mnayosoma yawasaidie na kuwaongoza katikaa kujiajiri na si kuajiriwa apo ndipo pona yenu ya kusota mtaani itakuwa!!
Chuo cha usimamizi wa fedha (ifm) ni chuo kinachoongoza kwa kutoa au kuzalisha wataalam wa kada za uhasibu,benki,IT na mambo ya biashara.
Watu wamekua wakiponda vyuo vngne kua vinatoa wahtim wabovu na kuisahau ifm.
Wahitim wengi(karibu wote)wa ifm wana ufaulu mzuri sana ila hawana uwezo kichwani,wanafaulu kwa kusoma past papers,elim ya ifm imejikita kwenye past papers,mwanafunz anaweza kua haendi darasani ila bado akafaulu kwa kusoma past papers
kuna walim pale ni wavivu kutunga mitihani,kazi yao ni kurudia mitihani iliyopita,na wengne wana vitabu vyao,ukikinunua ukasoma maswali yaliyomo(yana majb) huhitaji kuhuzuria darasani,wewe una A
kana huamin,fuatilia kipindi cha mitihan pale ifm utaona wanafunzi wanavyohangaika kupitia past papers
hili jambo niliambiwa na mdogo wangu aliekua anasoma pale baada ya kumkuta ana gunia la past papers,akanipa hyo siri,nikafanya utafiti nikalithibitisha hlo.
Ushauri wangu. Waalim ifm badilikeni,hii dunia ya utandawaz mnatulemazia watoto wetu,igeni tabia ya UDSM.
ni ukweli kabisa nimepitisha hoja!
pitia hapa Home - The Institute of Finance ManagementWakuu nina D 2 na C 1 kwenye matokeo ya form four, vipi nitakuwa nmetimiza vigezo vya kujiunga na IFM au?
Ongeeni yote mkimaliza kitaa kinawasubiri... Wote mnaoponda ni sizitaki mbivu hizi mnabisha??? Kweli msomi ambaye anasoma degree anakaa na kuanza kuongelea chuo cha mtu mara wanafanya hivi mara vile kwa taarifa yenu IFM ni practical oriented sio theory tu lab kwa it na computer science zipo za kutosha library kubwa na kama mitihani ingekua pastpapers watu wasingekua wanadisco... Watu wanaanza 700 wanamaliza 60 ndo maana ajilani utasikia a graduate from IfM will be considered an advantage hata mseme semeni tuu ila mwisho wa siku nyie wenyewe mnatetemeka
kwani In - voice ni nini price?Ndo hao ambao baadae wanakuwa hawajui hata Invoice ni nini? Jamani hadi Vyuoni
Chuo cha usimamizi wa fedha (ifm) ni chuo kinachoongoza kwa kutoa au kuzalisha wataalam wa kada za uhasibu,benki,IT na mambo ya biashara.
Watu wamekua wakiponda vyuo vngne kua vinatoa wahtim wabovu na kuisahau ifm.
Wahitim wengi(karibu wote)wa ifm wana ufaulu mzuri sana ila hawana uwezo kichwani,wanafaulu kwa kusoma past papers,elim ya ifm imejikita kwenye past papers,mwanafunz anaweza kua haendi darasani ila bado akafaulu kwa kusoma past papers
kuna walim pale ni wavivu kutunga mitihani,kazi yao ni kurudia mitihani iliyopita,na wengne wana vitabu vyao,ukikinunua ukasoma maswali yaliyomo(yana majb) huhitaji kuhuzuria darasani,wewe una A
kana huamin,fuatilia kipindi cha mitihan pale ifm utaona wanafunzi wanavyohangaika kupitia past papers
hili jambo niliambiwa na mdogo wangu aliekua anasoma pale baada ya kumkuta ana gunia la past papers,akanipa hyo siri,nikafanya utafiti nikalithibitisha hlo.
Ushauri wangu. Waalim ifm badilikeni,hii dunia ya utandawaz mnatulemazia watoto wetu,igeni tabia ya UDSM.
sio bure ww utakuwa ume disco aka umecheza lisebene
Alieandika hii post kadisco IFM huyo
Wakuu nina D 2 na C 1 kwenye matokeo ya form four, vipi nitakuwa nmetimiza vigezo vya kujiunga na IFM au?