Institute of finance management

Institute of finance management

Na waongo hawana ushahidi. Mbea anazungumza ukweli ila hajaruhusiwa tu.

ila wambea wa Jf wanaongea vya uongo na ushahid wanakua nao yan wamegubikwa na nguvu za giza...wambea wa humu ni tofauti na uwajuao
 
ila wambea wa Jf wanaongea vya uongo na ushahid wanakua nao yan wamegubikwa na nguvu za giza...wambea wa humu ni tofauti na uwajuao

Mbea ni mbea tu hata awe jf mradi anaushaidi huo ni ukweli sio umbea.
 
Mtu na akili zko hauwez kuacha udsm ama mzumb ama ardhi ukaend ifm vilaza na masalia wote wa shulen kwngu wali2pwa ifm tena 2nd choice

Mkuu umekosea!! Kama nataka kwenda kusomea medicine au kilimo na nna one nzuri ntaenda udsm na hiyo ardhi au mzumbe?
 
Mkuu umekosea!! Kama nataka kwenda kusomea medicine au kilimo na nna one nzuri ntaenda udsm na hiyo ardhi au mzumbe?

Sasa huko IFM hizo kozi zipo na hata hivyo vyuo unavyotaka kuchukua hizo kozi za medicine na kilimo hawachukui vilaza kama IFM.
 
Nimekupata vizuri xana ,thankx
Wadogo zangu,
wengi wenu mnachanganyikiwa pindi mnapomaliza vyuo wa sababu ya high expectation kama hizo.

Unaweza kufaulu vizuri sana lakini ukafika mtaani na kuhesabu miaka nenda rudi bila ya kuwa na ajira, yote hiyo kwa sababuu ya dharau na dhihaka mnazoziomesha wakati mwingine Mungu anaamua kuwapigaa kofi ili mjifunze cha kuujifunza.

Kusoma ni jambo moja lakini network na watu ni jambo liingine, kwenye yote hayo dharau na majivuno ya kusoma sijui UD, ardhi, mzumbe na kudharau taasisi kama TIA, IAA, IFM na nyingine ni kosa na dhabi pia.

Malizenii shule mkifika mtaani mtajutaa na kusaga meno utatamani hata uajiriwe kuwa msaga mashine.

acheni dharau, mwombeni Mungu mnayosoma yawasaidie na kuwaongoza katikaa kujiajiri na si kuajiriwa apo ndipo pona yenu ya kusota mtaani itakuwa!!
 
Chuo cha usimamizi wa fedha (ifm) ni chuo kinachoongoza kwa kutoa au kuzalisha wataalam wa kada za uhasibu,benki,IT na mambo ya biashara.

Watu wamekua wakiponda vyuo vngne kua vinatoa wahtim wabovu na kuisahau ifm.

Wahitim wengi(karibu wote)wa ifm wana ufaulu mzuri sana ila hawana uwezo kichwani,wanafaulu kwa kusoma past papers,elim ya ifm imejikita kwenye past papers,mwanafunz anaweza kua haendi darasani ila bado akafaulu kwa kusoma past papers

kuna walim pale ni wavivu kutunga mitihani,kazi yao ni kurudia mitihani iliyopita,na wengne wana vitabu vyao,ukikinunua ukasoma maswali yaliyomo(yana majb) huhitaji kuhuzuria darasani,wewe una A

kana huamin,fuatilia kipindi cha mitihan pale ifm utaona wanafunzi wanavyohangaika kupitia past papers

hili jambo niliambiwa na mdogo wangu aliekua anasoma pale baada ya kumkuta ana gunia la past papers,akanipa hyo siri,nikafanya utafiti nikalithibitisha hlo.

Ushauri wangu. Waalim ifm badilikeni,hii dunia ya utandawaz mnatulemazia watoto wetu,igeni tabia ya UDSM.

ni ukweli kabisa nimepitisha hoja!
 
wajomba nahc mmekosa kujiamini.....ni kweli ifm wanachukua wa2 wengi lkn wanaomaliza pale ni wachache kama huamini muulize m2 yeyote aliyewah soma pale....wote wanaograduate na upper second au first class ifm ni cream kweli ndani ya vichwa vyao....vilaza wengi hudisco na wachache huruka na pass..... ifm ni bonge la chuo...mzk wake ni mnene sana
 
Ongeeni yote mkimaliza kitaa kinawasubiri... Wote mnaoponda ni sizitaki mbivu hizi mnabisha??? Kweli msomi ambaye anasoma degree anakaa na kuanza kuongelea chuo cha mtu mara wanafanya hivi mara vile kwa taarifa yenu IFM ni practical oriented sio theory tu lab kwa it na computer science zipo za kutosha library kubwa na kama mitihani ingekua pastpapers watu wasingekua wanadisco... Watu wanaanza 700 wanamaliza 60 ndo maana ajilani utasikia a graduate from IfM will be considered an advantage hata mseme semeni tuu ila mwisho wa siku nyie wenyewe mnatetemeka
 
Wakuu nina D 2 na C 1 kwenye matokeo ya form four, vipi nitakuwa nmetimiza vigezo vya kujiunga na IFM au?
 
Ongeeni yote mkimaliza kitaa kinawasubiri... Wote mnaoponda ni sizitaki mbivu hizi mnabisha??? Kweli msomi ambaye anasoma degree anakaa na kuanza kuongelea chuo cha mtu mara wanafanya hivi mara vile kwa taarifa yenu IFM ni practical oriented sio theory tu lab kwa it na computer science zipo za kutosha library kubwa na kama mitihani ingekua pastpapers watu wasingekua wanadisco... Watu wanaanza 700 wanamaliza 60 ndo maana ajilani utasikia a graduate from IfM will be considered an advantage hata mseme semeni tuu ila mwisho wa siku nyie wenyewe mnatetemeka

"na kama mitihani ingekua pastpapers watu wasingekua wanadisco... Watu wanaanza 700 wanamaliza 60 ndo maana ajilani utasikia a graduate from IfM will be considered an advantage hata mseme semeni tuu ila mwisho wa siku nyie wenyewe mnatetemeka".
Ndugu hapo umechanganya madawa.kwani kutoka watu 700 hadi 60 unashangaa?je hapo 640 walikuwaje?,mimi nakaa na wanafunzi toka vyuo tofauti.kumeza karibu vyuo vyote wengi wao ndio jadi ndugu.alafu wanao disco ifm kwa kufeli ni wengi ambao wamevamia kazi halafu wanalegeza ndugu.wengi sana wanachukuliwa kizembe hapo ,wewe utakuta mtu kasoma hkl alafu anasoma accounts asipokaza ataliwa tu lasivyo awemzuli sana kutoka o level.
sasa wengiwao wanaokuja hapo wanakuja kama kuangukua hapo tu ndio maana wanaondoka.ingekuwa wamewachukua wote wapo vizuri alafu wakapungua hivyo basi ningesema kweli manawabana."ifm wanalazimisha kuwapunguza wanafunzi maana wanakuwa nao wengi sana kosa dogo lisilo la msingi sana wanamtimua ndio maana wengi wanadisco.mfano mdogo wangu alichelewesha kurudisha project wakambania eti.mpaka leo wanamzungusha kaamua afanye arrangement za kuanza tena.pia kwenye sentensi yako umesema graduate from ifm will be added advantege ni kweli kwasababu inamilikiwa na wizara ya fedha kwa hiyo lazima wizara ya fedha na department zake iwape kipaumbele hivi vyuo inavyovimiliki,lakini si wakati wote ni mara chache .
pia na kila chuo kina monopoly power yake mfano utakuta kampuni inataka mtu wa mass comm alafu inasema atakae toka saut atakuwa added advantage(sio lazima na anaweza asipate),na kutoka udsm ,law,economics,internat relatn,au kutoka sua mambo ya kilimo inatoa yenyewe tu,au mzumbe ,baf, development mgt na baadh ya course ambazo inatoa yenyewe tu
 
Chuo cha usimamizi wa fedha (ifm) ni chuo kinachoongoza kwa kutoa au kuzalisha wataalam wa kada za uhasibu,benki,IT na mambo ya biashara.

Watu wamekua wakiponda vyuo vngne kua vinatoa wahtim wabovu na kuisahau ifm.

Wahitim wengi(karibu wote)wa ifm wana ufaulu mzuri sana ila hawana uwezo kichwani,wanafaulu kwa kusoma past papers,elim ya ifm imejikita kwenye past papers,mwanafunz anaweza kua haendi darasani ila bado akafaulu kwa kusoma past papers

kuna walim pale ni wavivu kutunga mitihani,kazi yao ni kurudia mitihani iliyopita,na wengne wana vitabu vyao,ukikinunua ukasoma maswali yaliyomo(yana majb) huhitaji kuhuzuria darasani,wewe una A

kana huamin,fuatilia kipindi cha mitihan pale ifm utaona wanafunzi wanavyohangaika kupitia past papers

hili jambo niliambiwa na mdogo wangu aliekua anasoma pale baada ya kumkuta ana gunia la past papers,akanipa hyo siri,nikafanya utafiti nikalithibitisha hlo.

Ushauri wangu. Waalim ifm badilikeni,hii dunia ya utandawaz mnatulemazia watoto wetu,igeni tabia ya UDSM.

sio bure ww utakuwa ume disco aka umecheza lisebene
 
Back
Top Bottom