Insuarance Agent

Insuarance Agent

juniour12

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Posts
407
Reaction score
375
Habari zenu wakuu,Tafadhali naomba msaada wenu wa mawazo jinsi ya kuwa wakala wa Bima.

Ukianzia na taratibu zake mpaka kufikia kuwa Agent na pia gharama zake katika kulifanikisha hilo.

Pia ningependa kujuzwa na changamoto zake pindi ukiwa Agent na faida zake pia.
Nategemea msaada wenu GT.
 
Back
Top Bottom