Insulated panels - njia rahisi ya ujenzi wa nyumba kwa bei nafuu na kwa muda mfupi sana

Insulated panels - njia rahisi ya ujenzi wa nyumba kwa bei nafuu na kwa muda mfupi sana

mawazotu

Senior Member
Joined
Apr 27, 2010
Posts
151
Reaction score
79
Nilikua napita pita nikakuta hii material ya Mega Panels . hii material na technology mpya ya ujenzi kwa kutumia insulted panels apa Tanzania ndo imeaza kutumika na kuuzwa.

Hizi insulted panels ni mbadala wa matofali (alternative to convectional bricks) hii technology ni maarufu kutokana na insulation material which an individual saves 50% to 80% of heating or cooling cost, less construction time (50%) cheaper by 30% compare to convectional blocks.

Technology na material kama hizi zinatumika sana America, Japan, Korea,China ,South Africa, Nigeria, Mozambique. Hata national house cooperation Kenya wanatumia hii technology kutengeneza nyumba za bei rahisi kwa wananchi wake.
5.JPG
6.JPG
9.JPG
 
Weka picha!

Sent from my Siemens c35 using JamiiForums
 
Asante kwa taarifa. Zinapatikana wapi na wapi mtu anaweza kupata maelezo zaidi kuhusu ubora, usalama n.k.?
 
Asante kwa taarifa. Zinapatikana wapi na wapi mtu anaweza kupata maelezo zaidi kuhusu ubora, usalama n.k.?

Mkuu,

Nimeangalia kwenye you tube, zinapendeza. Ila nami swali langu ni kuhusu uimara na usalama wa huo ukuta ambao nimeona sehemu inayotakiwa kuwekwa madirisha na milango inakatwa kwa msumeno. Si tutaingiliwa mpaka vyumbani na wezi watakaokuja na misumeno tu na kupasua njia? Ama kuna kitu cha ziada kitakachowekwa baada ya ujenzi kuhakikisha usalama? Naomba kama kuna mwenye utaalamu zaidi atujuze, binafsi ningependelea kuwa na uwezo wa kujenga nyumba na kuimaliza kwa muda wa mwezi mmoja na kwa bei nafuu!
 
ubora na uimara ni concern ya kila mtu . hii material inetengenezwa na reinforced zinc coated wire mesh and its electronically welded together on expanded polystyrene (EPS) kwa mjumuiko huu hii material ikijengewa ni bora na imara zaidi kuliko matofali
 
Ni teknolojia nzuri ila wasiwasi wangu ni kwa wale ambao wana uwezo wa kujenga kidogo kidogo mpaka nyumba iishe. hao mimi naona watapendelea kununua matofali kidogo kidogo na kupandisha ukuta kutokana na uwezo wao wa kifedha. Kwa teknolojia hii, mtu huhitaji kununua panels zote za nyumba nzima kwa pamoja. kuna yeyote mwenye wazo kuhusu hili?
 
Kweli kabisa mkuu kwenye inshu ya kudunduliza matofali ndo mpango mzima . kuna sababu nyingi za watu kutumia hii material ina insulator (EPS) inapunguza joto la ndani ya nyumba by 20% bila AC imagine utaepukaje joto la bongo. easy and cheap to transport and install ,ideal for vertical extension due to its weight so kama mtu unataka kuongeza nyumba yako kuwa gorofa hii material ndo yenyewe coz its has 70% less weight compare to convectional blocks
 
Nilikua napita pita nikakuta hii material ya Mega Panels . hii material na technology mpya ya ujenzi kwa kutumia insulted panels apa Tanzania ndo imeaza kutumika na kuuzwa .Hizi insulted panels ni mbadala wa matoli (alternative to convectional bricks) hii technology ni maarufu kutokana na insulation material which an individual saves 50% to 80% of heating or cooling cost, less construction time (50%) cheaper by 30% compare to convectional blocks. Technology na material kama hizi zinatumika sana America, Japan, Korea,China ,South Africa, Nigeria, Mozambique......... ata national house cooperation Kenya wanatumia hii technology kutengeneza nyumba za bei rahisi kwa wananchi wake.

Very good Idea
 
Very good Idea

yes its a VERY GOOD IDEA.... Angalia hii one storey house extension. its was impossible due to the foundation structure and the weight factor of the convection bricks ingebidi avunje nyumba nzima which could be very expensive but this material made the house vertical extension possible sasa hivi mtu anagoofa
House Extension.jpg
House Extension 2.jpg
 
Ook Thankx kwa taarifa. Kuna mtu nilikuwa nae juzi alikuwa ananiambia kuhusu project ya ujenzi wa nyumba za kupangisha hapa Darkwa kutumia hizi material sikumuelewa. Hapa ndio nimekuelewa sasa. Aliniambia unaweza jenga nyumba kwa Tsh Mil 10-20 tu.
 
karibu
 
...hii teknolojia inayozungumzwa hapa na Insulated Concrete Forms ni vipi? cc Fundi Mchundo
 
Last edited by a moderator:
Ook Thankx kwa taarifa. Kuna mtu nilikuwa nae juzi alikuwa ananiambia kuhusu project ya ujenzi wa nyumba za kupangisha hapa Darkwa kutumia hizi material sikumuelewa. Hapa ndio nimekuelewa sasa. Aliniambia unaweza jenga nyumba kwa Tsh Mil 10-20 tu.

Mkuu Diwan sorry, kwa faida ya wengi unaweza kubreakdown kidogo hapo kwenye bold?
 
kwa ujenzi wetu wa bongo kwa viwango vya makengeza nadhani bao tofali zinakuwa nafuu, na kupunguza zaidi ni bora ujengee hydrafoam au tofali ya kuchoma. hizi kitu bado zitakuhitaji foundation nzuri na beam kadhaa kusimama.
 
How affordable is it uki compare na ujenzi wa kawaida mkuu?
 
NHC Tanzania wange tumia technology hii kujenga nyumba za bei nafuu,kuliko za cement blocks ambazo zina gharama kubwa.
 
Back
Top Bottom