Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NHC Tanzania wange tumia technology hii kujenga nyumba za bei nafuu,kuliko za cement blocks ambazo zina gharama kubwa.
Nimeongea nao kupitia website aliyotuwekea mdau nafikiri wapo vizuri sana! Layout waliyonitumia ya vyumba vitatu double bedroom, lounge ya s-meter 28, Dining ya s-meter 15, kitchen, Choo ni 28million! Isn't that good?

kwa ujenzi wetu wa bongo kwa viwango vya makengeza nadhani bao tofali zinakuwa nafuu, na kupunguza zaidi ni bora ujengee hydrafoam au tofali ya kuchoma. hizi kitu bado zitakuhitaji foundation nzuri na beam kadhaa kusimama.
very good project friends, yaweza ikawa maarufu sana kama swala la durability litakuwa vizuri