Intaneti imezidi kupanda Bei

Kwa mm naetumia halotel navoda hiko unachosema hakipo. Tokea mwanzo ungesema ni tigo wala nisingekuuliza
 
Mh napita tu Sasa hapa tunaweka mchanga wa hoja au tunaweka masiahara
 
Upo sahihi, mitandao ya mawasiliano kama ilivyo mafuta imekuwa sehemu ya kujikusanyia tozo kwa hii serikali ambayo inaamini katika kuendesha uchumi wa tozo.
Mwanzoni kila kampuni ilijitahidi weka vitu bei ndogo ili wagombanie wateja, serikali ikaingilia kati ikaharibu kila kitu.

Halotel alikuwa na kifurushi cha usiku kwa 1500 tu ila kwa sasa 1500 hakuna utachofaidi
 
Tatizo serikali iliingilia kati.

Wao wanatumia bundle za bure
 
20k
Voda unapata gb12 kwa mwezi…

Ni hatari sana!
 
Kwa hiyo tuseme Kuna upigaji wa Chini chini.
Mana JIMIXIE ingetakiwa iwe gharama ni moja kwa kila mteja
Hivi uko serious unapata gb6 kwa 20k? Khaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Me hizo tu gb 12 kwa 20k naona bado wananiibia..
 
Mimi mwanzo walikuwa wananipa kifurushi cha 4G GB 7 kwa wiki kwa elf 5, leo hii unapewa GB 3.3 pekee........wamefyeka GB 3.7 nzima lakini wanalamba buku 5 ileile.
CCM ni mafiii
 
Km wapinzani wenyewe wamelewa na asali ni wapi tena pa kupazia suti ?
 
enzi za magu kulikua na night pack,toboa daah kwa bei ya 1500 tu unaseleleka mpaka asubuh
Hivi vifurushi vilikuwepo zamani, Awamu ya 4 hukoo, awamu ya 5 vikawa vinashuka kila siku mpaka vikapingwa panga vyote.
 
Kama Lengo ni kupata GB nyingi
1. Hamia post paid kama unajiweza 25,000 unapata GB 30 ama wastani 15,000 unapata GB 3. Kwa Tigo.
2. Funga internet ya Nyumbani, Unlimited 4mbps TTCL ni 25,000 tu ipo mpaka mikoani, japo si maeneo yote, kama Huwezi ku Afford 25,000 changa na mwenzako.
 
Post paid inakuaje kwenye tigo??
 
Post paid inakuaje kwenye tigo??
Kwa mara ya kwanza unaenda Tigo wanakuunga, then kila mwezi unalipia mwenyewe kwa Tigopesa.

Ukijiunga Kifurushi ndio hicho hicho kila mwezi. Mfano umejiunga GB 30 kila Tarehe 1 GB 30 zinaingia kwenye Account. Uzuri wa Postpaid hulazimiki kulipia papo hapo, hata kama Huna hela wanakupa wiki kadhaa, unaweza hata tarehe 10 ukalipia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…