Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,423
- 9,986
Kwa mm naetumia halotel navoda hiko unachosema hakipo. Tokea mwanzo ungesema ni tigo wala nisingekuulizaKwa mfano tigo kwenye size yako tsh 2000 unapata GB 1 na dakika 90 siku 7, ipo namba 9, usidhani naandika hapa kujifurahisha naijuwa vizuri michezo ya kampuni za simu.
Kabla ya kuleta ligi za kijinga jipe muda wa kuzikaguwa menu zote za mtandao unaotumia.
Watu wengi wapo kimazoea akishanunuwa vocha anajiunga alivyozoea wakati hawa wahuni wa kampuni za simu vile vifurushi wanavihamisha hamisha kuwachanganya wateja.