Intelijensia: Simba itatolewa kwa kulazimishwa suluhu

Great Mikia for the Good Fight . But bado hamna kikosi cha maana. Sidhani kama hiki kikosi kitawapeleka robo fainali. Mtaishia katikati Tu . Sijaona kama mna Beki ya kucheza As Vita , TP Mazembe et etc
Mazembe hii inayomtegemea Thomas Ulimwengu...Corona imeziacha timu nyingi zikiwa za kawaida tatizo letu tumekariri majina ya timu
 
Mleta uzi sasa jipime utimamu wako wa akili kwa hili mawazo yako na motokea ni vitu viwili toofaauutii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tukutane kwenye makundi. Ndio safar yako ya mwisho. Hakuna kikosi hapo cha kucheza Makundi . Mnaenda kututia Aibu
We umeingia mwaka gani kwenye hayo makundi ?
Mada hapa umesema tutatolewa na Wazimbabwe.
Mbona umeshindwa japo kusema uliwakosea wana Simba kwa kuwatabiria vibaya.
Umeshindwa hata kuwapongeza.

Haya Ingia wewe kwenye hayo makundi kama unaona sio kitu cha maana.
Wacha Roho mbaya za Kichawi.
 
Jamaa unahamisha magoli. Issue ilikuwa kumtoa Platinums, sasa unasema makundi Simba hatoboi.

Mara ya mwisho Yanga kushiriki makundi
Ni mwaka 1998
1) Nyerere alikuwa yuko hai.

2)Mkapa alikuwa yuko gado,ndo
kwanza ana miaka 3 uongozini

3)kuzamia kwenda Sauzi ni dili
4)Majambazi yakivamia nyumba yanaiba TV

5)Facebook,instagram,Twitter, Jamii forums hazikuwepo.

6)Kuchaguliwa shule za serikali ilikuwa dili.

7)kumiliki simu kilikuwa kipimo cha utajiri
8)Kelvin John a.k.a Mbape,hajazaliwa

9)Chadema ilikuwa haijawahi kuweka mgombea wa urais hata mara moja.

10)Mzee wa kiraracha(Mrema) alikuwa na uwezo wa kukusanya nyomi mkutanoni.
11)Wapo ambao walikuwa hawajazaliwa ila kwa sasa wana watoto.
12) wapa ambao hawakuwa na watoto ila sasa wana wajukuu

13)Division one zilikuwa ni adimu kuliko Mo kuwa mwanachama wa Vicoba
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…