Ninja assasin
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 2,512
- 5,848
mkuu wewe si simba lakn au nimekosea ???Tukutane kwenye makundi. Ndio safar yako ya mwisho. Hakuna kikosi hapo cha kucheza Makundi . Mnaenda kututia Aibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu wewe si simba lakn au nimekosea ???Tukutane kwenye makundi. Ndio safar yako ya mwisho. Hakuna kikosi hapo cha kucheza Makundi . Mnaenda kututia Aibu
Wewe si ni mwanasimba mwenzetu?Kipigo kipo mbele yenu
Mazembe hii inayomtegemea Thomas Ulimwengu...Corona imeziacha timu nyingi zikiwa za kawaida tatizo letu tumekariri majina ya timuGreat Mikia for the Good Fight . But bado hamna kikosi cha maana. Sidhani kama hiki kikosi kitawapeleka robo fainali. Mtaishia katikati Tu . Sijaona kama mna Beki ya kucheza As Vita , TP Mazembe et etc
We umeingia mwaka gani kwenye hayo makundi ?Tukutane kwenye makundi. Ndio safar yako ya mwisho. Hakuna kikosi hapo cha kucheza Makundi . Mnaenda kututia Aibu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unatakiwa wewe ndio ujiombe Kurudi hapa ktk Uzi wako baada ya game kwa aibu utakayopata
Tofauti kabisa matokeoMimi ni Simba na nakubaliana na wewe
[emoji23][emoji23][emoji23]Vipiii Kaka nmerudiii[emoji23][emoji23][emoji23]tenaa na ujingaaa wanguuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haya rudi huku umeze matapishi yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe kmmk una hali gan saiz umesha jinyonga au BADO nikuletee kamba wewe utopolo unaejivisha ngozi ya simba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bado unaumia tu? Hapo bado ada ya watoto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hamna tumeshinda kwa nguvu zako mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu wewe si simba lakn au nimekosea ???
[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe si ni mwanasimba mwenzetu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We umeingia mwaka gani kwenye hayo makundi ?
Mada hapa umesema tutatolewa na Wazimbabwe.
Mbona umeshindwa japo kusema uliwakosea wana Simba kwa kuwatabiria vibaya.
Umeshindwa hata kuwapongeza.
Haya Ingia wewe kwenye hayo makundi kama unaona sio kitu cha maana.
Wacha Roho mbaya za Kichawi.