Intelijensia: Simba itatolewa kwa kulazimishwa suluhu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Tukutane kwenye makundi. Ndio safar yako ya mwisho. Hakuna kikosi hapo cha kucheza Makundi . Mnaenda kututia Aibu
Aibu ya nini huku wewe Unacheza mapinduzi cup??
 
Waambie Mods wafute huu uchawi wako
 
Tukutane kwenye makundi. Ndio safar yako ya mwisho. Hakuna kikosi hapo cha kucheza Makundi . Mnaenda kututia Aibu

Mwanaintelligensia uchwara katika ubora wako!
Yaani nyie utopolo kwa nini mmefura hivyo lakini?
Msimu ule Simba ilipofika robo fainali, watu waliiponda kuwa kwenye makundi haitofika popote, nadhani kilichobakia ni historia hivi sasa!
Msimu huu kabla ya mechi na platnum mkaleta uchambuzi wenu uchwara na utabiri wa kitopolo mlivyo utopolo,kwamba sijui hamna beki, mara bila mkude simba haitatoboa, na drama kibao kilichotokea pale kwa Mkapa hamuamini, mnabaki kusema mara sijui ni mazingaumbwe n.k! Yaani visababu hiviishi!
Sasa simba imeingia makundi, mmeanza oo, haifiki popote sijui beki mbovu, na blah blah kibao!
Kama mlivyoichawia kabla, ndivyo mtabaki tena midomo wazi!
Hamtaamini, mtakachokiona kwenye makundi, sijui nyuso zenu mtaficha wapi!

Na sijui zikipatikana nafasi nne, nyie utopolo sijui mtagoma...!?!!
 
Kafie mbali na post yako na roho mbaya zenu mikosi iwe yako kuiombea,simba vibaya.
 
Nasema kwamba mtakuka KHAMSA MECHI ZOTE
Yes... Tutatukuka kwa kupiga watu khamsa khamsa... Au 4G... Kama tulivyofanya kwa Platinum na Yanga... Hawa tuliwapiga NNE NNE.....
 
Great Mikia for the Good Fight . But bado hamna kikosi cha maana. Sidhani kama hiki kikosi kitawapeleka robo fainali. Mtaishia katikati Tu . Sijaona kama mna Beki ya kucheza As Vita , TP Mazembe et etc
Hata mwanzo mlisema hivyo kwamba hatutafika makundi ila tumefika. Nyie endeleeni kubadilisha magoli kadri tunavyosonga mbele.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Intelijensia ya uto bana nyie wanoko ndio huwa mnapigwa na mayai viza mitaani.
 
Great Mikia for the Good Fight . But bado hamna kikosi cha maana. Sidhani kama hiki kikosi kitawapeleka robo fainali. Mtaishia katikati Tu . Sijaona kama mna Beki ya kucheza As Vita , TP Mazembe et etc
Beki ambazo haijaruhusu goli nyingi VPL ni IPI? Simba kwenye mechi NNE za CAF imeruhusu goli mojo, unasema beki mbovu
 
Great Mikia for the Good Fight . But bado hamna kikosi cha maana. Sidhani kama hiki kikosi kitawapeleka robo fainali. Mtaishia katikati Tu . Sijaona kama mna Beki ya kucheza As Vita , TP Mazembe et etc
Wao wana beki ya kucheza vs Simba?

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Aibu ya nini huku wewe Unacheza mapinduzi cup??
Kumbe ameingia makundi ya Mapinduzi Cup....!
Ndio anajidai namna hii....!

Na mechi ya kwanza katoa sare na timu ambayo sikumbuki jina lake ya huko Zanzibar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…