Intelijensia: Simba itatolewa kwa kulazimishwa suluhu

Simba imeuzindika Uwanja wa Taifa in advance. Hao Wazimbabwe watafungwa kichawi mabao saba. Simba imefanya makafara ya kila aina ya kiumbe kilichopo duniani na ahera ili ishinde
.
JamiiForums-2037130989.jpg
 
Mazembe hii inayomtegemea Thomas Ulimwengu...Corona imeziacha timu nyingi zikiwa za kawaida tatizo letu tumekariri majina ya timu

Sasa ngoja tuone Makundi. Hiki kikosi sikioni kikienda Robo Fainali. Timu vilaza ni tatu tu ikiwemo na Simba. Zilizobaki ni timu zenye uzoefu na Investment kubwa

Mazingira ya Mikia kutoka ni makubwa
 
We umeingia mwaka gani kwenye hayo makundi ?
Mada hapa umesema tutatolewa na Wazimbabwe.
Mbona umeshindwa japo kusema uliwakosea wana Simba kwa kuwatabiria vibaya.
Umeshindwa hata kuwapongeza.

Haya Ingia wewe kwenye hayo makundi kama unaona sio kitu cha maana.
Wacha Roho mbaya za Kichawi.

Muda ndio Rafiki
 
Ni vyema wanasimba wenzangu tukaanza kujiandaa kisaikolojia.

Intelijensia yetu imefanikiwa kufika hadi Hotelini na kufanya udadisi katika lugha ya ki ZIMBABWE [emoji1269] . Wachezaji wote wa Platnum wanataka kuandika Historia ya kuingia makundi kwa mwaka huu. Wamekuja kufanya DIE HARD GAME na kuhakikisha kwamba goli la kwanza linaingia kipindi cha kwanza.

Mchezo wao utakuwa ni kulinda na kufanya mashambulizi ya kustukiza kwa kusababisha

Safari ya SSC imefika ukingoni. Kwanza, mpaka sasa Simba haina First Eleven ya uhakika kama ilivyokuwa kwa Uchebe. Pili, wachezaji wa SSC hawana spirit ya ku fight uwanjani to the last blood hii imepelekea mara nyingi huanza kufungwa goli katika dakika za mwanzo kabisa na kupata kibarua cha kusawazisha dakika za mwisho mwisho za mchezo.

Ifahamike kwamba Simba haikuitoa Plateau kimpira, bali Plateau ilitoka kwa KARMA.

Ni uzembe kabisa kuamini kwamba Platnum atakuja Mkapa na kufungwa goli mbili; Platnum imekuja kusonga mbele na wachezaji wote wapo katika ari hiyo, pili hakuna kikosi cha Simba kitakachoweza kusababisha, yaani Watacheza cheza na pasi nyingi huku wakienjoi Biriani la Chama na mwisho wa siku watatolewa.

Wanasimba wenzangu huo ndio ukweli na tuanze kuuishi ili tarehe 6 tusisikie kuwa kuna watu WAMEKUFA au KUZIMIA. Tabia ya KUFA ni kwasababu watu huaminishwa upuuzi na MANARA. Mpira sio kelele na blah blah, mpira ni KAZI na kazi hiyo hufanyika uwanjani, sio kwenye mitandao au kwenye makusanyo ya waandishi wa Habari. Ni upuuzi.

Hatuna kikosi; hakuna kocha, hatuna wachezaji watakaoweza KUSABABISHA ila wapo wachezaji watakao cheza cheza pasi za kupoteza muda na biriani lisilokuwa na faida yoyote katika kusonga mbele.

Undondocha wa Mo uliotujaa na kushindwa kuuona ukweli kwamba Mo is BIG TIME na hana ishu. Inamaana Mo alikosa wachezaji Africa wenye QUALITY mpaka kwenda kumsajili mchezaji asie na nidhamu ambae wala hana Woow Factor kisa tu anatokea Yanga na alimtungua Garasa Manula .

Kulikuwa kuna haja gani kumchukua Kishingo; Kocha ambae hana background yoyote ya mpira na wala hakuna mahala kwamba ameshawahi kuchukua kombe lolote. Kishingo is a BIG TIME!

Kulikuwa na haja gani kwenda kuchukua wachezaji wa brazil waliokuwa wanacheza mechi za mchangani. Ina maana Africa hakuna wachezaji wenye viwango alivyovitaka? Haya yote ameyafanya bila ya kushirikisha technical Support. Yeye ndiyo Tajiri, yeye ndiyo kocha, yeye ndiyo mwenyekiti na yeye ndiyo anaiua timu na mipango yake HEWA.

Timu inatumika Kibiashara; inatumia muda mwingi kujitangaza badala ya kutumia muda mwingi kuunda kikosi chenye tija kwa michuano ya KIMATAIFA. Sasa MSIBA umeshakuja na kwa hakika SSC inatolewa kupitia DURU za KI-INTELIJENSIA.

MPIRA sio dua, mpira ni uwanjani na safari ya matumaini kwa kikosi kipana itaishia hapo.

Mark My Words
Huyu shoga bado yupo kweli au ndo kashaenda kupika na kupakua Zimbabwe
 
Jamaa unahamisha magoli. Issue ilikuwa kumtoa Platinums, sasa unasema makundi Simba hatoboi.

Mara ya mwisho Yanga kushiriki makundi
Ni mwaka 1998
1) Nyerere alikuwa yuko hai.

2)Mkapa alikuwa yuko gado,ndo
kwanza ana miaka 3 uongozini

3)kuzamia kwenda Sauzi ni dili
4)Majambazi yakivamia nyumba yanaiba TV

5)Facebook,instagram,Twitter, Jamii forums hazikuwepo.

6)Kuchaguliwa shule za serikali ilikuwa dili.

7)kumiliki simu kilikuwa kipimo cha utajiri
8)Kelvin John a.k.a Mbape,hajazaliwa

9)Chadema ilikuwa haijawahi kuweka mgombea wa urais hata mara moja.

10)Mzee wa kiraracha(Mrema) alikuwa na uwezo wa kukusanya nyomi mkutanoni.
11)Wapo ambao walikuwa hawajazaliwa ila kwa sasa wana watoto.
12) wapa ambao hawakuwa na watoto ila sasa wana wajukuu

13)Division one zilikuwa ni adimu kuliko Mo kuwa mwanachama wa Vicoba
...mkuu umetisha...

👊👊👊👊👊👊
 
Sasa ngoja tuone Makundi. Hiki kikosi sikioni kikienda Robo Fainali. Timu vilaza ni tatu tu ikiwemo na Simba. Zilizobaki ni timu zenye uzoefu na Investment kubwa

Mazingira ya Mikia kutoka ni makubwa
Tuliza mshono wanaume tuko kazini, tumeshawatupieni mbeleko hiyo na nyie mwakani mpande ndege.
 
Sasa ngoja tuone Makundi. Hiki kikosi sikioni kikienda Robo Fainali. Timu vilaza ni tatu tu ikiwemo na Simba. Zilizobaki ni timu zenye uzoefu na Investment kubwa

Mazingira ya Mikia kutoka ni makubwa
Haya umeingia kingi tena, Mazingira yapi ya kutoka ni makubwa kwa Simba??
 
Sasa ngoja tuone Makundi. Hiki kikosi sikioni kikienda Robo Fainali. Timu vilaza ni tatu tu ikiwemo na Simba. Zilizobaki ni timu zenye uzoefu na Investment kubwa

Mazingira ya Mikia kutoka ni makubwa
Aahaahhaha wewe ni Chikwende
 
Sasa ngoja tuone Makundi. Hiki kikosi sikioni kikienda Robo Fainali. Timu vilaza ni tatu tu ikiwemo na Simba. Zilizobaki ni timu zenye uzoefu na Investment kubwa

Mazingira ya Mikia kutoka ni makubwa
kwani malengo ya simba kwa mwaka huu unajua ni nini ?
 
Sasa wewe ni nani hadi tukutie aibu? Pambaneni na nyie muende, acha wivu utakuua
Tukutane kwenye makundi. Ndio safar yako ya mwisho. Hakuna kikosi hapo cha kucheza Makundi . Mnaenda kututia Aibu
 
Basi na wewe tumia hizo nguvu uone hata kama utachukua kombe la ligi, yaani bado hamjui propaganda za mpira hadi leo? Ase kweli bado mpo nyuma sana kimpira!! Mkija kujua propaganda sie tumeshachukua klabu bingwa Africa
Kwani mmeshinda kwa nguvu zenu. ?
 
Ni vyema wanasimba wenzangu tukaanza kujiandaa kisaikolojia.

Intelijensia yetu imefanikiwa kufika hadi Hotelini na kufanya udadisi katika lugha ya ki ZIMBABWE [emoji1269] . Wachezaji wote wa Platnum wanataka kuandika Historia ya kuingia makundi kwa mwaka huu. Wamekuja kufanya DIE HARD GAME na kuhakikisha kwamba goli la kwanza linaingia kipindi cha kwanza.

Mchezo wao utakuwa ni kulinda na kufanya mashambulizi ya kustukiza kwa kusababisha

Safari ya SSC imefika ukingoni. Kwanza, mpaka sasa Simba haina First Eleven ya uhakika kama ilivyokuwa kwa Uchebe. Pili, wachezaji wa SSC hawana spirit ya ku fight uwanjani to the last blood hii imepelekea mara nyingi huanza kufungwa goli katika dakika za mwanzo kabisa na kupata kibarua cha kusawazisha dakika za mwisho mwisho za mchezo.

Ifahamike kwamba Simba haikuitoa Plateau kimpira, bali Plateau ilitoka kwa KARMA.

Ni uzembe kabisa kuamini kwamba Platnum atakuja Mkapa na kufungwa goli mbili; Platnum imekuja kusonga mbele na wachezaji wote wapo katika ari hiyo, pili hakuna kikosi cha Simba kitakachoweza kusababisha, yaani Watacheza cheza na pasi nyingi huku wakienjoi Biriani la Chama na mwisho wa siku watatolewa.

Wanasimba wenzangu huo ndio ukweli na tuanze kuuishi ili tarehe 6 tusisikie kuwa kuna watu WAMEKUFA au KUZIMIA. Tabia ya KUFA ni kwasababu watu huaminishwa upuuzi na MANARA. Mpira sio kelele na blah blah, mpira ni KAZI na kazi hiyo hufanyika uwanjani, sio kwenye mitandao au kwenye makusanyo ya waandishi wa Habari. Ni upuuzi.

Hatuna kikosi; hakuna kocha, hatuna wachezaji watakaoweza KUSABABISHA ila wapo wachezaji watakao cheza cheza pasi za kupoteza muda na biriani lisilokuwa na faida yoyote katika kusonga mbele.

Undondocha wa Mo uliotujaa na kushindwa kuuona ukweli kwamba Mo is BIG TIME na hana ishu. Inamaana Mo alikosa wachezaji Africa wenye QUALITY mpaka kwenda kumsajili mchezaji asie na nidhamu ambae wala hana Woow Factor kisa tu anatokea Yanga na alimtungua Garasa Manula .

Kulikuwa kuna haja gani kumchukua Kishingo; Kocha ambae hana background yoyote ya mpira na wala hakuna mahala kwamba ameshawahi kuchukua kombe lolote. Kishingo is a BIG TIME!

Kulikuwa na haja gani kwenda kuchukua wachezaji wa brazil waliokuwa wanacheza mechi za mchangani. Ina maana Africa hakuna wachezaji wenye viwango alivyovitaka? Haya yote ameyafanya bila ya kushirikisha technical Support. Yeye ndiyo Tajiri, yeye ndiyo kocha, yeye ndiyo mwenyekiti na yeye ndiyo anaiua timu na mipango yake HEWA.

Timu inatumika Kibiashara; inatumia muda mwingi kujitangaza badala ya kutumia muda mwingi kuunda kikosi chenye tija kwa michuano ya KIMATAIFA. Sasa MSIBA umeshakuja na kwa hakika SSC inatolewa kupitia DURU za KI-INTELIJENSIA.

MPIRA sio dua, mpira ni uwanjani na safari ya matumaini kwa kikosi kipana itaishia hapo.

Mark My Words
Hebu rudia tena huu Utopolo wako
 
Back
Top Bottom