Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,973
- 9,572
Wana Jf,
Imegundulika kuwa kuna mkakati mbaya unaofanywa na ccm na serikali yake kumdhuru Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema.
Intelijensia ya Chadema imefanikiwa kunasa taarifa ya kumwua mbunge Lema au ikishindikana kabisa atafutiwe kesi ambayo hataweza kupata dhamana, mfano ugaidi, uhaini au murder.
Mkakati mzima unaratibiwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, ambaye anaonekana kuwa na back up ya watawala.
Mnyetishaji amedokeza kuwa kuna maaskari kutoka nje ya Arusha kwa ajili ya kazi hiyo maalum ya kudhulumu maisha ya watetezi wa haki na utu. Inasemekana Askari polisi wengi wa hapa Arusha wamejitambua na wanaonekana wengi wao hawapo tayari kudhulumu maisha ya watu wasio na hatia, kitendo kinachowafanya serikali ya ccm kukodi polisi kutoka mikoa mingine.
Habari zisizo rasmi zinasema kuna jwtz wamevalishwa nguo za ffu kufanya special duty ya kumshughulikia Lema.
Ikumbukwe Godbless Lema ameonekana kuwa Mwiba kwa ccm na serikali yake, baada ya kuizika ccm kwa hapa Arusha na kuwajengea ari vijana kujitambua.
CHADEMA ipo imara, na haitaogopeshwa na njama zozote za ccm. Wamedhiriki kuigeuza kesi ya jinai (penal code) kuwa ugaidi, wakidhani watafanikiwa, kumbe wanajizika wenyewe!!!
Source: Intelijensia ya chadema, kwa uthibitisho kamanda Lema kesho atazungumza na waandishi wa habari!!!
Tulianza na Mungu, tunaendelea kuwa na Mungu na Tutamaliza na Mungu!!