Intelijensia ya CHADEMA imenasa njama za Kumdhuru Mbunge Lema

Intelijensia ya CHADEMA imenasa njama za Kumdhuru Mbunge Lema

Status
Not open for further replies.
Duh hiki kiwanda cha uongo bado kinazalisha bidhaa kumbe!!
 
1)If they fail to kill him,they will make him even stronger

2)kama wakishindwa kumuua,watamfanya mwenye nguvu 3)kama wakalemo emboo,wan-ninga finya
 
TUMEANZA NA MUNGU, TUTAMALIZA NA MUNGU, hiyo mikakati yao haiwezi kutekelezeka hata kidogo
 
Lema alishajitoa mhanga siku nyingi hilo haliwezi kumtisha wapange jingine hao wendawazimu.
 
Mkuu confederaty Spy,

Hata mimi nimesikia wanataka kumlisha sumu akiwa mahabusu na alternative nyingine ni kuhakikisha kawa kamanda Lema anafungwa jela muda mrefu.Liberatus Sabas na Magesa Mulongo waliongoza kikao cha leo wakiwa na ujumbe maalumu ulioratibiwa na Kamanda Chagonja huku wakihusisha maofisa wengi na taarifa kutoka ndani ya jeshi hilo ni kwamba kamanda Tibaigana aliombwa ushauri kama senior expert member katika masuala ya usalama
 
Last edited by a moderator:
Tunashukuru sana mkuu wa update and noted, Wacha wapange tu kila mtu yupo makini now na siri zote lazima zifichuke, tunashukuru sana....Na mungu akubariki
 
Iko siku Lema atatembea uchi ili apate headlines

Kama ni kweli, huyo mkuu wa mkoa kwa nini anahangaika naye hivyo? Kwa nini asimuache tu? Atafanya yake na wananchi watamchoka. Lkn nionavyo sasa ni kama serikali ina mpa umaarufu wa Bure. waachane naye na yeye apate hata wasaa wa kuvuta Hewa ya Oxygen kama mkuu wa mkoa!!
 
Iko siku Lema atatembea uchi ili apate headlines
Akili fupi, isiyofikiria future ya taifa utaiona tu! Watu wengine ni kama hamkuumbiwa aibu; nafsi zenu zimekufa hata hamjitambui tena. Kama usingeiruhusu akili yako kuongozwa na tumbo katika kufikiria, ingekuwa ni vigumu sana kuandika ujinga uliouandika hapo juu; unachokiwaza wewe ni mustakabali wa tumbo lako- pasipo kujali kabisa taifa lako linaathirika kiasi gani kwa manufaa yako binafsi, na kwa kuwa akili yako ni fupi, basi huoni hatari iliyo mbele ya taifa lako, lakini pia na kwako binafsi na ukoo wenu. Na, kwa kuwa nafsi yako imekufa siku nyingi kwa sababu ya ubinafsi ulionao, basi hata haya niliyoyaandika wayaona ni upuuzi mtupu. Hufanyi jambo ambalo halitakutambulisha wewe binafsi, na kwa kuwa tabia hii imekomaa kwako, basi wahisi kuwa ati kila mtu yu kama wewe. Wakati mwingine ni heri muwe mnakaa kimya tu; maana kwa kutuandikia upuuzi wa namna hii, mnazidi kudhihirisha ni namna gani msivyo na maono yoyote juu ya mustakabali wa taifa letu. Kwa unafiki mkubwa kiasi hiki mlionao, hata familia zenu sijui mnaziongozaje.
 
Japo siamini hi habar kwa asilimia mia moja, lakin kwa hichi chama {CCM} wala sishangai wanaweza kufanya lolote ili waendele kutawala milele coz ccm imejaa wauwaji mpka wabakaji (nchemba)..
 
mkuu wa mkoa anatafuta ubaya na machalii ya arusha.
wakishavuta ile kitu ya sekei atahama mkoa aisee
atulie ajenge mkoa amwache rais wao wa arusha..
 
Kama unavyotembea wewe uchi ili upate mzigo Huko UK
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom