Nimeshuhudia mashabiki wa ovyo duniani, ila mashabiki wa Simba ni mashabiki wa ovyo zaidi duniani,
Arsenal kateseka ila hatukuwahi ona akisusia uwanjani,
Yanga wenyewe hapa bongo kateseka sana ila hajawahi susa, yan ninyi kipigo kimoja tu mnaanza kuhimizana kutoenda uwanjani? What kind of trash fans are you? Hamtaki hata mfungwe game moja? Hamuwez kuwa team kubwa kwa style hii