Intelijensia

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Hapa leo ninatoa changamoto kwa wale woote wanopenda kunoa vichwa na kutaka kujua wako wapi kiintelijensia. Nina swali rahisi kabisa!
Nalo ni jaribu kupangilia namba zifuatzo kufuatana na ukubwa wa namba;

99(9) , 9(99), (9(9))9, 9(9)(9)

Namaanisa ifuatavyo;
namba za kwenye mabano zinaashiria kipeo kwa mfano 99 (9) ni 99 kipeo cha 9,
au kwa kiingereza 99 to the power of 9,
9(99); 9 kipeo cha 99 au 9 to the power of 99
(9(9))9; 9 kipeo cha 9 na yote hiyo tena kipeo cha 9 nikiimaanisha kwamba kuna 9 kipeo cha 9 halafu halafu tena 9 hiyo 9 kipeo cha tisa ina kipeo cha 9 (9 to the power of 9 and all to the power of 9).
9(9)(9); 9 ina kipeo cha 9 na hicho hicho kipeo kina kipeo tena cha 9 (9 has the power of 9 and this power of 9 has also the power of 9)
kama kuna ugumu wa kuelewa ninachomaanisha usisite kuuliza....
 
Mi niliishia darasa la nne hivo haya naona nimarue rue. Wanamahesabu karibu.
Lakini hii inamaanisha intelijensia yangu ni ndogo kweli?
Kama ndivyo narudi shule.
 
9(99)
99(9)
(9(9))9 = 9(9)(9)
 
99(9) ,(9(9))9, 9(99), 9(9)(9)
 
Hii bingwa wa hisabati Prof. Augustine Moshi ataipangua kama Moses Mkandawire alivyokuwa anapangua mashuti au vichwa vya Abeid Mziba....ngoja aione
 
the politician me: tukishajua namba hizi na mpangilio na ukubwa wake, tutaapply vipi katika mapambano yetu dhidi ya ufisadi?
 
Hii bingwa wa hisabati Prof. Augustine Moshi ataipangua kama Moses Mkandawire alivyokuwa anapangua mashuti au vichwa vya Abeid Mziba....ngoja aione

Mbona ishapanguliwa? Ipanguliwe mara ngapi huoni juu hapo?
 
the politician me: tukishajua namba hizi na mpangilio na ukubwa wake, tutaapply vipi katika mapambano yetu dhidi ya ufisadi?

Think like tusipojua tutashindwa kujua tofauti ya EPA na gharama ya shoeshine.
 
Mbona ishapanguliwa? Ipanguliwe mara ngapi huoni juu hapo?

Una uhakika umeipangua? Ngoja niende next floor kwa ma actuarial analyst niwapelekee halafu tuone kama solution yako na wao zinalingana
 
Smallest 99(9), then (9(9))9= 9(9)(9)=9(81), and then 9(99). Monotonically increasing functions
 
Una uhakika umeipangua? Ngoja niende next floor kwa ma actuarial analyst niwapelekee halafu tuone kama solution yako na wao zinalingana

9 power 99 = 2.9512665430652752148753480226198e+94

99 power 9 = 913517247483640899

(9 (power 9)power 9) = 150094635296999121 which equals 9(9)(9) = 150094635296999121
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…