Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Hapa leo ninatoa changamoto kwa wale woote wanopenda kunoa vichwa na kutaka kujua wako wapi kiintelijensia. Nina swali rahisi kabisa!
Nalo ni jaribu kupangilia namba zifuatzo kufuatana na ukubwa wa namba;
99(9) , 9(99), (9(9))9, 9(9)(9)
Namaanisa ifuatavyo;
namba za kwenye mabano zinaashiria kipeo kwa mfano 99 (9) ni 99 kipeo cha 9,
au kwa kiingereza 99 to the power of 9,
9(99); 9 kipeo cha 99 au 9 to the power of 99
(9(9))9; 9 kipeo cha 9 na yote hiyo tena kipeo cha 9 nikiimaanisha kwamba kuna 9 kipeo cha 9 halafu halafu tena 9 hiyo 9 kipeo cha tisa ina kipeo cha 9 (9 to the power of 9 and all to the power of 9).
9(9)(9); 9 ina kipeo cha 9 na hicho hicho kipeo kina kipeo tena cha 9 (9 has the power of 9 and this power of 9 has also the power of 9)
kama kuna ugumu wa kuelewa ninachomaanisha usisite kuuliza....