"Intelligence Spinning" na kilichopo chini ya uongozi 'kwa mifano!'

"SCOPE OF SPINNING DOCTOR(S)"

-Mbinu zinazotumiwa na nchi za dunia ya tatu ni nyepesi sana ukilinganisha na wenzetu wa dunia ya kwanza.

naomba kuuliza "JIRANI YETU ZAKAYO/KASONGO ALIMALIZAJE NDG GEN Z?
kile chama cha siasa ccha vijana kenya kinaendeleaje hivi sasa?
 
yoga ni mtaalamu wa kupindisha hoja (spinning master) ambaye kwa muda mrefu amekuwa akipotosha fikra za wanachama wa JF. Mara nyingi hutumia taarifa sahihi, lakini huzipanga na kuzitafsiri kwa maana inategemea upande mmoja wa shillingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…