Intelligence ya ccm iko hoi bin taaban.. Ya CHADEMA iko above next level..

Intelligence ya ccm iko hoi bin taaban.. Ya CHADEMA iko above next level..

Kuhusu barua TAL aliandika barua mbili moja yenye nia ya kugombea urais 2025 na nyungine umakamo uwenyekiti na hizo zote ni barua za mwezi wa nane. Inshort TAL amebadilika saiv kutaka uenyekiti kama ulikua hujui. Mambo unayoyasema hayaitaji intelijensia ni mambo ya wazi. Uzi wako ni nonsense
Hahahahahaa!
Chadema wote Sasa ni kama wamechanganyikiwa; yaani Uzi huu ndo umetoka kwa mkongwe kabisa?!!!!!!! Kweli Hali si shwari maana Uzi umekaa reasonings za kitoto mpaka aibu naona Mimi.
 
CCM HAIWEZI KUWA NA INTELIJENSIA HAFIFU. ACHENI KUJIDANGANYA. MNAANZISHA MAMBO WENYEWE NA KUYASPIN WENYEWE.
CCM CHAMA KUBWA
Chama kubwa lakini si chama bora, kwenye ulimwengu wa digital sifa ni ubora na ufanisi na sio ukubwa. Kwenye analogia sifa ni ukubwa na mabavu. Kwa maneno marahisi ccm ni chama analogia zama hizi za digital.
 
Ndiyo shida yenu Chadema

Yaani badala mrekebishe panapovuja kila mtu anaona nyie mmekazana na ya hao CCM ambao wanazidi kujiimarisha .

CCM mpaka 2090 kwa mtindo huu wa kijinga wa Chadema mnatuangusha
Ccm inajiimarisha au inajishikiza kwenye vyombo vya dola? Ni kweli ccm itakaa madarakani, lakini sio ccm kama chama chenye ushawishi wa kisiasa, bali chama kinachokaa madarakani kwa mbeleko ya vyombo vya dola. Siku itakosa mbeleko ya vyombo vya dola ndio itakuwa mwisho wake.
 
Imagine mpaka leo hii ccm wameshindwa kabisa kujua chanzo cha mapato kilichogharamia press conference ya TAL pale mlimani city.. Sasa wamebaki kuzushazusha tuu.. Mara eti mchungwaji Peter Msiigwa ndio kagharamia🤣🤣🤣
Mara Lissu kachangisha mwenyewe nknk
Iteligensia ya CCM pia imeshindwa kabisa kabisa kung'amua kwamba Lissu aliwasilisha barua ya kutoa taarifa kwa katibu mkuu nia ya kugombea nafasi ya uenyekiti tangu mwezi wa nane
Inteligensia ya ccm ikashindwa kabisa pia kung'amua muktadha wa press conference ya Lissu ya Tarehe 12.12.2024.. Maana siku moja kabla ya PC hiyo ramli chonganishi zilikuwa nyingi sana toka chawa wa ccm.. Siku hizi LMb7 ilishakufa ikazikwa kitambo kabisa
Mada za kizushi zilikuwa nyingi sana.. Na zote zikafemea😂
Imagine watu wametoka mikoani na mabango yao.. Lakini intelligence makini ya chama chawala haikuambua kitu
CHADEMA ipewe maua yake kwenye hili.. Ina mipango ina mikakati ina utunzaji wa 'classified information' ulinyooka sana
Hizi post mpya za kuhoji gharama za kukodi ukumbi na maandalizi yake yote ni machweo ya jua lililotegemewa kuunguza kila kilichotakiwa kuungua🤣
Kwani machawa wa mbowe wanasemaje?
 
CCM wanaendelea na propaganda za mwaka 1995 miaka hii ya 2024?

Wanasahau kwamba tupo kwenye kizazi Cha 5G

2025 watagawana mbao wao wakati huo tukiwacheki tu!!
Wanachowaza ni kula kwa urefu wa kamba basi
 
Halafu wanajifanya kuchunguza na kutuma Rambirambi.
Intelligence ya CCM ilipatia sehemu moja tu pale walipojua Basi alilopanda Marehemu Mzee Ally Kibao, na kumshusha na kwenda kumuua.

Halafu wanajifanya kuchunguza na kutuma Rambirambi.
 
2025 ni uchaguzi mkuu.

CCM imelenga kujiimarisha kwa kutafuta wanachama wengi zaidi. Nimeona wakihimiza uandikishwaji wa wanachama wapya.

Chadema ndiyo kuna mtu anaitisha press conference kuazimia kugombea uenyekiti. Online wanachama wake wako busy kubishana nani anafaa kua mwenyekiti. Notable party members same route.

No one discusses the humiliating defeat kwenye chaguzi za mwezi tu uliopita.

Acting like hawajui mwakani kuna nini kitakua
Kwamba they”wa defeated?

Please stop y’all!
 
Jambo usilojijua ni kama usiku wa giza.

Labda useme umeandika kufurahisha umati tu.

😂😂😂 intelligence ya CDM ni imara kushinda ya CCM. 😂😂😂

Haya ngoja tuone
 
Intelligence ya CCM ilishaona mgogoro wenu. Na leo Mbowe kupitia chawa Yericko Nyerere kamchana Lissu.
 
Intelligence ya CCM ilishaona mgogoro wenu. Na leo Mbowe kupitia chawa Yericko Nyerere kamchana Lissu.
Nani kakwambia ni marufuku wanachama kutoa mitazamo yao ndani ya CHADEMA? CCM mtu akifanya hivyo mnammaliza
 
Back
Top Bottom