Intelligence ya ccm iko hoi bin taaban.. Ya CHADEMA iko above next level..

Hahahahahaa!
Chadema wote Sasa ni kama wamechanganyikiwa; yaani Uzi huu ndo umetoka kwa mkongwe kabisa?!!!!!!! Kweli Hali si shwari maana Uzi umekaa reasonings za kitoto mpaka aibu naona Mimi.
 
CCM HAIWEZI KUWA NA INTELIJENSIA HAFIFU. ACHENI KUJIDANGANYA. MNAANZISHA MAMBO WENYEWE NA KUYASPIN WENYEWE.
CCM CHAMA KUBWA
Chama kubwa lakini si chama bora, kwenye ulimwengu wa digital sifa ni ubora na ufanisi na sio ukubwa. Kwenye analogia sifa ni ukubwa na mabavu. Kwa maneno marahisi ccm ni chama analogia zama hizi za digital.
 
Ndiyo shida yenu Chadema

Yaani badala mrekebishe panapovuja kila mtu anaona nyie mmekazana na ya hao CCM ambao wanazidi kujiimarisha .

CCM mpaka 2090 kwa mtindo huu wa kijinga wa Chadema mnatuangusha
Ccm inajiimarisha au inajishikiza kwenye vyombo vya dola? Ni kweli ccm itakaa madarakani, lakini sio ccm kama chama chenye ushawishi wa kisiasa, bali chama kinachokaa madarakani kwa mbeleko ya vyombo vya dola. Siku itakosa mbeleko ya vyombo vya dola ndio itakuwa mwisho wake.
 
Kwani machawa wa mbowe wanasemaje?
 
CCM wanaendelea na propaganda za mwaka 1995 miaka hii ya 2024?

Wanasahau kwamba tupo kwenye kizazi Cha 5G

2025 watagawana mbao wao wakati huo tukiwacheki tu!!
Wanachowaza ni kula kwa urefu wa kamba basi
 
Halafu wanajifanya kuchunguza na kutuma Rambirambi.
Intelligence ya CCM ilipatia sehemu moja tu pale walipojua Basi alilopanda Marehemu Mzee Ally Kibao, na kumshusha na kwenda kumuua.

Halafu wanajifanya kuchunguza na kutuma Rambirambi.
 
Kwamba they”wa defeated?

Please stop y’all!
 
Jambo usilojijua ni kama usiku wa giza.

Labda useme umeandika kufurahisha umati tu.

😂😂😂 intelligence ya CDM ni imara kushinda ya CCM. 😂😂😂

Haya ngoja tuone
 
Intelligence ya CCM ilishaona mgogoro wenu. Na leo Mbowe kupitia chawa Yericko Nyerere kamchana Lissu.
 
Nani kakwambia ni marufuku wanachama kutoa mitazamo yao ndani ya CHADEMA? CCM mtu akifanya hivyo mnammaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…