Wakenya washindwe kwao waweze tz? Basi adui wa Tz na kenya ni mmoja. kwa sababu, kenya wanashambuliwa na alshababu ili wayatoe majeshi yao Somalia. Lakini nani alianza kumshambulia mwenzake? Ni alshababu ndipo kenya ikapeleka majeshi somalia kuwasaka alshababu.
Aidha, ni nchi nyingi zenye vikosi vyao huko somalia.mfano,Djibout, Ethiopia, Uganda na Burundi mbona huko kwao hakuna harakati za alshababu? Kama hoja itakuwa ni ufikivu, Ethiopia pia imeunga mpaka na Somalia.
Kama ni ushindani wa kibiashara, Kenya yawapasa washindane si kwenye utalii pekee bali na kwenye gesi, mafuta, ukubwa wa ardhi ya tz, jina la tz kujiuza lenyewe. Hulka ya watz kupenda na kuenzi amani.Jeshi la tz limetukuka duniani(syschelis,Comoro,Mozambique,Uganda,DRC,Darfur,Lebanon)
Milipuko ya tz CCM wanaijua vilivyo chanzo,sababu na mikakati yake. Viweje polisi watumie masaa 24 kuwanasa wauaji wa faru jacq; watumie masaa 24 kuwakamata wauaji wa mama wa kichina; watumie wiki kuwatia mbaroni wauaji na waporaji kituo cha polisi kimanzichana LAKINI polisi hao hao tena wakishirikisha FBI washindwe kuwakamata wauaji wa padri, walipua mabomu Soweto?...!!!