Intelligent and clever, unawezaje kuwatambua?

Intelligent and clever, unawezaje kuwatambua?

Clever ni mwalimu, intelligent ni mwanafunzi mwenye uwezo kuliko mwalimu wake
 
Intelligent ni mtu anayeweza kujifunza mambo mbalimbali kwa haraka au kutatua tatizo/kikwazo kwa haraka zaidi wakati clever ni mtu mjanja anayeweza kutumia akili kinyume kufanikisha lengo lake.
 
Back
Top Bottom