Al-Watan JF-Expert Member Joined Apr 16, 2009 Posts 11,891 Reaction score 14,583 Nov 1, 2017 #41 beth said: Nadhani mkuu anaelezea Intelligence Quotient kwa makosa ya kusema ni Intelligent Quotient ambako kimsingi hakuna kitu kinaitwa hivyo.. By the way, unavyosema vina maana tofauti umenichanganya kidogo boss. Nini maana ya Intelligent Quotient? Click to expand... Intelligence Quotient ni "Kiwango cha Akili". Intelligent Quotient ni "Kiwango chenye Akili". Lugha za watu tuzitendee haki hizi jamani. Mtu akianza kuandika sana kuhusu hizi habari kama hajajua tofauti hiyo tu naona hana cha kuniambia.
beth said: Nadhani mkuu anaelezea Intelligence Quotient kwa makosa ya kusema ni Intelligent Quotient ambako kimsingi hakuna kitu kinaitwa hivyo.. By the way, unavyosema vina maana tofauti umenichanganya kidogo boss. Nini maana ya Intelligent Quotient? Click to expand... Intelligence Quotient ni "Kiwango cha Akili". Intelligent Quotient ni "Kiwango chenye Akili". Lugha za watu tuzitendee haki hizi jamani. Mtu akianza kuandika sana kuhusu hizi habari kama hajajua tofauti hiyo tu naona hana cha kuniambia.
beth JF-Expert Member Joined Aug 19, 2012 Posts 3,880 Reaction score 6,368 Nov 1, 2017 #42 Al-Watan said: Intelligence Quotient ni "Kiwango cha Akili". Intelligent Quotient ni "Kiwango chenye Akili". Lugha za watu tuzitendee haki hizi jamani. Click to expand... Umesomeka mzee baba!
Al-Watan said: Intelligence Quotient ni "Kiwango cha Akili". Intelligent Quotient ni "Kiwango chenye Akili". Lugha za watu tuzitendee haki hizi jamani. Click to expand... Umesomeka mzee baba!
Ramesses II JF-Expert Member Joined Sep 29, 2013 Posts 3,710 Reaction score 5,054 Nov 1, 2017 Thread starter #43 Al-Watan said: Sijasema umeandika wewe. Ila wewe ndiye uliyeleta hapa. Utajuaje nimeelewa kilichoandikwa wakati kilichoandikwa hakileti maana na wewe umesemasi mtaalamu wa lugha? Click to expand... Sitaki hizo bifu.
Al-Watan said: Sijasema umeandika wewe. Ila wewe ndiye uliyeleta hapa. Utajuaje nimeelewa kilichoandikwa wakati kilichoandikwa hakileti maana na wewe umesemasi mtaalamu wa lugha? Click to expand... Sitaki hizo bifu.
Al-Watan JF-Expert Member Joined Apr 16, 2009 Posts 11,891 Reaction score 14,583 Nov 1, 2017 #44 TsafuRD said: Sitaki hizo bifu. Click to expand... Hata mimi bifu sili, mimi vegetarian.