Intelligent Quotient

Intelligent Quotient

Nadhani mkuu anaelezea Intelligence Quotient kwa makosa ya kusema ni Intelligent Quotient ambako kimsingi hakuna kitu kinaitwa hivyo..

By the way, unavyosema vina maana tofauti umenichanganya kidogo boss. Nini maana ya Intelligent Quotient?

Intelligence Quotient ni "Kiwango cha Akili".

Intelligent Quotient ni "Kiwango chenye Akili".

Lugha za watu tuzitendee haki hizi jamani.

Mtu akianza kuandika sana kuhusu hizi habari kama hajajua tofauti hiyo tu naona hana cha kuniambia.
 
Sijasema umeandika wewe. Ila wewe ndiye uliyeleta hapa.

Utajuaje nimeelewa kilichoandikwa wakati kilichoandikwa hakileti maana na wewe umesemasi mtaalamu wa lugha?
Sitaki hizo bifu.
 
Back
Top Bottom