Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
222Itaonyeshwa channel gani Dstv?
222
Bundle la 56,000.. wanaachia access leo.
Mmmmh!Inter wanatumia viungo watano tena world class ..katikati....wanasaidia Sana defence...walifanya counter Wana lautaro Martinez... world class striker....
Huu uzi utaukimbia ni suala la mudaWengi wanaipotezea Inter.
Lakini ndio atashinda ubingwa UCL.
Niko tayari kwa madongo kama atashindwa.
222
Bundle la 56,000.. wanaachia access leo.
Mnataka engagement kwenye nyuzi zenuWengi wanaipotezea Inter.
Lakini ndio atashinda ubingwa UCL.
Niko tayari kwa madongo kama atashindwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maumivu ndo mme ongezewa sasa lolAshinde Tu tupumue mana imekuwa makelele kila sku , guardiola , guardiola
Hatimayeeee inter Milan kabondwaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wanahisi Inter millan atakuwa zoba tu kwenye hii fainali, ila hii ni moja kati ya fainali ambayo kutakuwa na kivumbi haswaa.
Wamebondwaaaaaa huko hao world class strikerInter wanatumia viungo watano tena world class ..katikati....wanasaidia Sana defence...walifanya counter Wana lautaro Martinez... world class striker....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnateseka mkiwa wapiiiii???Aisee natamani sana inter ashinde sitaki man city achukue japo alinifurahisha kumtoa madrid
Tumeloaaa kwa kweli duh sio pow[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnateseka mkiwa wapiiiii???