Inter Milan atashinda leo, tutarudi kwenye huu uzi

Watu wanahisi Inter millan atakuwa zoba tu kwenye hii fainali, ila hii ni moja kati ya fainali ambayo kutakuwa na kivumbi haswaa.
Hatimayeeee inter Milan kabondwaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inter wanatumia viungo watano tena world class ..katikati....wanasaidia Sana defence...walifanya counter Wana lautaro Martinez... world class striker....
Wamebondwaaaaaa huko hao world class striker
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…