Inter Milan na Kichina inakaaje?

Inter Milan na Kichina inakaaje?

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Wakuu, jana nilikuwa nikiangalia mechi kati ya Inter Milan na Bologna. Kilicho nishangaza ni kuona majina ya wachezaji wa Inter kuandikwa Kichina kwenye jezi zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wamiliki wao ni wachina so moja ya vipengele vya kimkataba ni hilo la kuvaa jezi zenye maandishi ya kichina kwenye sehemu ambazo ingebidi yakae majina ya wachezaji na hiyo ni katika kuelkea tarehe 5 mwezi wa pili ya kila mwaka ambao kwao china wanaiita 'chinese year of pig'..
 
Na nafikilia na kibiashara zaidi na kwa kuwa wao ni wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom