inter university economic forum for mzumbe,sua,mum,jordan na vyuo vyote vya morogoro linakuhusu.

inter university economic forum for mzumbe,sua,mum,jordan na vyuo vyote vya morogoro linakuhusu.

AfricaUnited

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2010
Posts
2,367
Reaction score
1,293
kesho sa saba mchana hadi sa kumi na moja wana mzumbe,sua ,mum,jordan na vyuo vyote vilivyoko morogoro mnakaribishwa kwenye jukwaa kubwa la uchumi litakalofanyika chuoni mzumbe.hivyo mnaombwa kuhudhuria bila kukosa\
maada;jinsi ya kukabiliana na tatizo la ukosefu wa ajira
wanenaji';
1.waziri wa maliasili na utalii
2.prof elisante ole gabriel(atafundisha vijana kuhusu lile somo la strategic thinking for youth in tanzania,huyu ni permanent deputy secretary wa wizara habari,vijana na michezo.

  • A%20S%202152.gif

karibuni woote.
 
Back
Top Bottom