Interest Rate On Fixed Deposit Accounts

Interest Rate On Fixed Deposit Accounts

i would rather play with shares...ni kuwa muangalifu tu na ufuatiliaji wa bei
 
Nimesoma tangazo la Postal Bank katika gazeti la jana tarehe 28/7/2015, wanajinadi wanatoa 10% kwa mwezi, 11% kwa miezi 2 na 12% kwa miezi 3,hawakuweka kiwango cha fedha
 
Nimesoma tangazo la Postal Bank katika gazeti la jana tarehe 28/7/2015, wanajinadi wanatoa 10% kwa mwezi, 11% kwa miezi 2 na 12% kwa miezi 3,hawakuweka kiwango cha fedha
Hata mimi nililiona, ila hawajaliweka sawa... hiyo 10% kwa mwezi mbona tutajaa wengi kama ni kweli
 
Nyumba inauzwa Chanika Tshs. Mil 62. Ipo ndani ya kiwanja cha Medium size, Ina master bedroom 1, sub master 1, vyumba vya kawaida 2, common toilet, sitting room and dinning, stoo na jiko. Nje ina garage, mabanda ya kuku na mbwa, jiko, stoo na choo cha nje, pia ina wigo wa ukuta.

Mawasiliano: 0654060250
 
Bora uwekeze kwenye hisa mkuu kuliko fixed deposit. Nimekuwa nafuatilia soko la hisa kuna baadhi ya makampuni hisa zao zimepanda bei Mara mbili katika kipindi cha mwaka mmoja

Hivyo kama utanunua hisa baada ya mwaka mmoja utaziuza kwa bei Mara mbili ya uliyo nunulia. Kwa maana nyingine ni sawa na kudouble hela yako kitu ambacho huwezi pata kwenye fixed deposit.
Nashauri kuanza kuwekeza kwenye stocks za ughaibuni kama apple nakadhalika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom